Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,828
- 40,633
Yaani nimeshangaa sana. Hatujamaliza ligi vibaya sana kihivyo.. ilikuwa mwanzo mzuri kuelekea msimu mpya.Timu ilikua ishajipata tayari chini ya Poch ila Ghafla habari ya kuondoka imewadia, ngoja tuone kocha gani ataenda pale
Usisahau pia kuwa media nyingi kwenye tesnion kama hii wanapitisha nao rumours zao ili kuuza habari zaoHalaf bado tunamjadili Thomas Frank wallah tumerogwa.
SD na Wamiliki linapokuja swala la kutafuta kocha kunamahali fuse inafyatuka
Itakuwa ni worse mistake badala ya kupiga hatua mbele then tunarudi kwenye sifuri
Ukiona hadi Fabrizio kamzungumzia jua kuna kaukweli😂😂😂Usisahau pia kuwa media nyingi kwenye tesnion kama hii wanapitisha nao rumours zao ili kuuza habari zao
Haya majina yote sidhani kama yametoka kwa SD
Mkuu unauhakika na ulichokiandikaEnzo alijiunga na Chelsea mwaka jana tu na huyu atakuwa meneja wake wa 5… Tumefanya nini?
View attachment 2996355
Yule mashavu sio kocha, nitapeli. watuleteege hata huyo wa episuchi tuone nae uwezo wake, anaweza akaweza.Uliona mbali
Jibu swali langu. Wakati Sarri anafika alikua amebeba kombe gani hapo kabla.?Nilikwambia bwana mdogo usiwe unapenda kutukana kila mtu.
Ona sasa.
Huna akili na sote tumeshuhudia hilo.
Sio tatizo mkuu hata wafike kumi chelsea tunataka makombe. Sisi sio wakugombania nafasi za kucheza Europa.Enzo alijiunga na Chelsea mwaka jana tu na huyu atakuwa meneja wake wa 5… Tumefanya nini?
View attachment 2996355
Makocha wa majaribio hao awafai.Yule mashavu sio kocha, nitapeli. watuleteege hata huyo wa episuchi tuone nae uwezo wake, anaweza akaweza.
Pamoja na kutimua kocha wafukuzeni wafuatao
Caicedo
Lavia
Sterling
Fisadi
Toa RJ na CaisedoPamoja na kutimua kocha wafukuzeni wafuatao
Caicedo
Lavia
Sterling
Fisadi
Sare
Chalobah
Chillwell
Reece James
Hawa ni mizigo kwenu leteni wachezaji wa kueleweka
inakuhusu nini wewe, shut up!Pamoja na kutimua kocha wafukuzeni wafuatao
Caicedo
Lavia
Sterling
Fisadi
Sare
Chalobah
Chillwell
Reece James
Hawa ni mizigo kwenu leteni wachezaji wa kueleweka
Kuna mmoja alishikilia kabla hajaja Lampad nadhani wa nne, akija huyu ambaye haitapita wiki tutamjua atakuwa wa tanoMkuu unauhakika na ulichokiandika
Potter
Lampard
Poch
Hao wa 5 ni wakinanani?
TuchelKuna mmoja alishikilia kabla hajaja Lampad nadhani wa nne, akija huyu ambaye haitapita wiki tutamjua atakuwa wa tano