Enzo amecheza miezi 8 akiwa na injury. Na bado tumu ilikuwa haijajipata plus injuriesMi naona mildfield ya caicedo na Ghalagher ni bora kuliko ya enzo na caicedo au ninyi mnaonaje wadau ?
Caicedo akicheza na kibelenge Ghalagher anakuwa na uhuru wa kuzunguka na kucover eneo kubwa na kupiga hata pasi za kuassist kwenye magoli .
Enzo ni poor kwenye kukaba akicheza na Caicedo mzigo wa kukaba pale kati kati unakuwa mkubwa kwa Caicedo , hopefully msimu ujao tutaona pia na matumizi ya Lavia yatakuwaje , ila kama na Lavia naye akiclick kwenye formation na partnership ya mildfield basi tutatisha sana .
Hata mimi sijawataja hao, issue iliyoko ni Poche na RDZMkuu timu yetu inahitaji kocha mtulivu anayeweza kuendelea kuimprove viwango vya wachezaji na Poch ni kocha sahihi. Angalia Mudueke, Caisedo, Caragher, Palmer, etc. Hii siyo Chelsea ya zamani. Tusiishi kwenye illusion. Tuko kwenye ujenzi wa timu mpya tena kwa falsafa mpya kabisa. Makocha kama Conte, Tuchel, Mourinho hawakiwezi hiki kikosi
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Mimi kitakachonifanya niendelee kuchukia hadi ajirekebishe ni blunders nyingi alizofanya kwa makusudi msimu huu wa 23/24. Poche hadi nimuamini tena msimu ujao itabidi ajirekebishe kwenye makosa yake aliyoyafanya.Mkuu timu yetu inahitaji kocha mtulivu anayeweza kuendelea kuimprove viwango vya wachezaji na Poch ni kocha sahihi. Angalia Mudueke, Caisedo, Caragher, Palmer, etc. Hii siyo Chelsea ya zamani. Tusiishi kwenye illusion. Tuko kwenye ujenzi wa timu mpya tena kwa falsafa mpya kabisa. Makocha kama Conte, Tuchel, Mourinho hawakiwezi hiki kikosi
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
RDZ in Potter 2.0Hata mimi sijawataja hao, issue iliyoko ni Poche na RDZ
Sio kweli msimu ule alisumbua ni kwasababu team nyingi azikumjulia baada ya kumjalia ndio maana anapoteza game nyingi na zote anfungwa kwa aina moja ya soka utaniambiaji ni Mzuri kimbinu? Team nyingi zinazomfunga wanachofanya ni hivi wanajua ubora wa huyu kocha ni kwenye build up kuanzia chini wanachofanya hawapress juu wanawasubiri wafike kati ndipo wanawapress kwa nguvu na mara nyingi wanakuwa wamepoteza shape yao ya uzuiaji ndio maana wanafunga magoal mengiNi kocha mzuri kimbinu
Hivi wewe unajua wachezaji waliotoka Brighton na impact yao baada ya kutoka. Hivi unajua sera ya wamiliki wa Brighton kuwa wao focus yao kubwa ni kuuza wachezaji. Hivi wajua kuwa wachezaji walionunuliwa wengine ni wale matakataka ya mwisho wakitegemea kocha wakuze ili wawauze kama akina Caicedo. RDZ kachukia huo mchezo akaamua kuondokaSio kweli msimu ule alisumbua ni kwasababu team nyingi azikumjulia baada ya kumjalia ndio maana anapoteza game nyingi na zote anfungwa kwa aina moja ya soka utaniambiaji ni Mzuri kimbinu? Team nyingi zinazomfunga wanachofanya ni hivi wanajua ubora wa huyu kocha ni kwenye build up kuanzia chini wanachofanya hawapress juu wanawasubiri wafike kati ndipo wanawapress kwa nguvu na mara nyingi wanakuwa wamepoteza shape yao ya uzuiaji ndio maana wanafunga magoal mengi
lembu
Issue sio wachezaji pekee kimbinu kafeli unajua kwanini Carlo ancelotti anapata sifa hata kama anawachezaji bora ni kwasababu ya mbinu zake zinazomfanya ashinde makombe mengi ukiondoa ubora wa wachezaji alionaoHivi wewe unajua wachezaji waliotoka Brighton na impact yao baada ya kutoka. Hivi unajua sera ya wamiliki wa Brighton kuwa wao focus yao kubwa ni kuuza wachezaji. Hivi wajua kuwa wachezaji walionunuliwa wengine ni wale matakataka ya mwisho wakitegemea kocha wakuze ili wawauze kama akina Caicedo. RDZ kachukia huo mchezo akaamua kuondoka
Ancelotti ni level nyingine, tunamzungumzia RDZ na Poche, ukienda kwenye uwanja mkubwa zaidi makocha wengi hawaendani na aina ya wachezaji tulionao,Issue sio wachezaji pekee kimbinu kafeli unajua kwanini Carlo ancelotti anapata sifa hata kama anawachezaji bora ni kwasababu ya mbinu zake zinazomfanya ashinde makombe mengi ukiondoa ubora wa wachezaji alionao
Sababu iliyomfanya RDZ asepe hii hapaIssue sio wachezaji pekee kimbinu kafeli unajua kwanini Carlo ancelotti anapata sifa hata kama anawachezaji bora ni kwasababu ya mbinu zake zinazomfanya ashinde makombe mengi ukiondoa ubora wa wachezaji alionao
Kocha bora huwa anaendana na wachezaj bora.Issue sio wachezaji pekee kimbinu kafeli unajua kwanini Carlo ancelotti anapata sifa hata kama anawachezaji bora ni kwasababu ya mbinu zake zinazomfanya ashinde makombe mengi ukiondoa ubora wa wachezaji alionao
Umempoteza Caicedo n McAlister halaf replacement unaletewa za ajabu ambazo hazina impact mda huo huo hujakaa sawa unapata injury za wachezaj wako muhim Mitoma na MarchSio kweli msimu ule alisumbua ni kwasababu team nyingi azikumjulia baada ya kumjalia ndio maana anapoteza game nyingi na zote anfungwa kwa aina moja ya soka utaniambiaji ni Mzuri kimbinu? Team nyingi zinazomfunga wanachofanya ni hivi wanajua ubora wa huyu kocha ni kwenye build up kuanzia chini wanachofanya hawapress juu wanawasubiri wafike kati ndipo wanawapress kwa nguvu na mara nyingi wanakuwa wamepoteza shape yao ya uzuiaji ndio maana wanafunga magoal mengi
lembu
Note alsoUmempoteza Caicedo n McAlister halaf replacement unaletewa za ajabu ambazo hazina impact mda huo huo hujakaa sawa unapata injury za wachezaj wako muhim Mitoma na March
Kwa team yenye quality player de zerbi anafanya vizuri, kimbinu kamzidi poch.
Kuna makocha kimbinu wamemzidi poch, yani ni rahisi kuusoma mchezo na kubadilika kadri mchezo unavyoenda.
Ni swala la mda tu wengi humu mtaanza kuwataja De Zerbi naomba apate team nzuri awaoneshe,Sebastian Hoeness,Thiago Motta
Soon Arne Slot atawaonyesha pale liverpool na hiv Michael Edward karudi msubir
Kumbuka pia kuwa Paul Winstanley aliletwa na RDZ kutoka Shaktar ambaye kwa sasa yuko Chelsea
Huyu ndie alikuwa kiini cha Brighton kusajili wachezaji wazuri. Sasa hayupo na Brighton imekosa mwelekeo kabisa
Wachezaji sio wamiliki.Ataondolewaje wakati anasapotiwa na wachezaji