Andika kitu nilicho andika sijajua shule ulieda kusomea ujinga ,wapi nimeandika ungepaki basi?jifunze tofauti ya buldup from back ,high placing , counter placing , mid block nkNyny hamna mpira wa kutupakisha basi ss...yaani mje kwetu halafu hako Ka Palmer ndo ka control mechi mbele ya Partey🤠🤠🤠....ona aibu sio unaongea kama amateur kwny mpira...nyny hata angekuwepo hyo kijana wenu kipigo kilikuwa palepale
Andika kitu nilicho andika sijajua shule ulieda kusomea ujinga ,wapi nimeandika ungepaki basi?jifunze tofauti ya buldup from back ,high placing , counter placing , mid block nk
Tuna match jumamosi na Nottm Forest bhanaOyaa wanangu game tunakipiga na nani Leo manzeee
Thank youplacing ❎️
pressing ✅️
Build up from the back..high pressing...counter pressing...mid block...kwa kutegemea mtu mmoja...Cole Palmer...acha upimbi shehe...mechi zte mlizodundwa hyo dogo hakuwepo ukiachana na mechi yetu??...narudi palepale angekuwepo hyo fala wenu msingefanya chchte mbele ya ile midfield yetu siku ile...ww ndo uende shule kutoa huo ujinga....huwezi kutegemea mtu mmoja Ili timu iweze kuchezaAndika kitu nilicho andika sijajua shule ulieda kusomea ujinga ,wapi nimeandika ungepaki basi?jifunze tofauti ya buldup from back ,high placing , counter placing , mid block nk
Pamoja na yote, msimu huu wote tunatoka mikono mitupu. Hapo je nako utabisha?Build up from the back..high pressing...counter pressing...mid block...kwa kutegemea mtu mmoja...Cole Palmer...acha upimbi shehe...mechi zte mlizodundwa hyo dogo hakuwepo ukiachana na mechi yetu??...narudi palepale angekuwepo hyo fala wenu msingefanya chchte mbele ya ile midfield yetu siku ile...ww ndo uende shule kutoa huo ujinga....huwezi kutegemea mtu mmoja Ili timu iweze kucheza
Moja kati ya maamuzi mabov aliyowah fanya Roman ni kumtimua huyu mzeeCarlo Ancelotti:
“Kosa wanalofanya makocha wa kizazi kipya ni kuwapa wachezaji maelekezo mengi wachezaji kwenye mchezo wakiwa wanamiliki mpira.
Hii inaondoa ubunifu. Ni jambo moja muhimu kumuelekeza mchezaji kujiweka kwenye nafasi nzuri timu ikiwa haina mpira, hapo lazima utoe maelekezo mengi, kwa sababu kama mchezaji hana mpira anatakiwa kuwa makini sana, ni concetration inatakiwa hapa, anatakiwa kujitoa sadaka sana na kucheza kama timu kwa pamoja.
Lakini timu inapokuwa na mpira, hapo kinachohitajika ni ubunifu wa mchezaji. mfano, Ikiwa Vinicius au Rodrygo wanajisikia raha zaidi kufungua zaidi kwenye winga wakati timu ina mpira, sitawaambia wakae ndani; kwa sababu ni tafsiri ya mtu binafsi ya mchezo.
Sifanyi hivyo, kwa sababu sitaki kuondoa ubunifu wa mchezaji.”
View attachment 2986301
Huyu mzee ni master tactician kweli kweli .Moja kati ya maamuzi mabov aliyowah fanya Roman ni kumtimua huyu mzee
Hata kwetu pale ,alitupa Premier league titleMoja kati ya maamuzi mabov aliyowah fanya Roman ni kumtimua huyu mzee
Wakat alipokuwepo kushinda hizi 5 zilikuwa kitu cha kawaida. Wakat wake tulikuwa tunafunga kwa magoal mengiHata kwetu pale ,alitupa Premier league title