Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu huu ndio ukweli wachezaji zaidi ya asilimia 60 tulionao ni average. Ni wachache sana unaweza waweka daraja la juu. Huitaji sijui setup wala nini kugundua hili.

Naomba nieleweke average sio tusi au kumaanisha hajui. Hii hata darasani ipo
 
Mkuu nahisi wewe una umri wa kutosha kujibu hoja kwa hoja.
Mada yangu ni uwezo wa wachezaji sio kocha
Tulichotaka Poche afanye tangu aanze ndicho alichofanya game na Vila na hii ya Spurs
Tweak ya Cucurella kucheza midfield akiwa LB imeiboost sana viungo kwenye ukabaji.
Pivot ya Caicedo na Gallagher imelazimishwa na injury japo alitakiwa siku nyingi kumtumia Gallagher deep
Mf na defence imebalance kwa sababu ya hiyo tweak. Ilikuwa ni kazi rahisi tu ila kocha wako Poche ni sturbon na mwoga. Mfahidhina yule imemgharimu sana
Tangu mwanzo tuliwaambia hawa wachezaji wazuri ninyi mkakazia ni average players. Wanacheza tofauþi nà maaelekezo ya kocga.
Too bad kwa sababu angefanya hivi tungekuwa sasa tupo top 4 na sio vila timu za kuunga unga
 
Wala sio kujituma. Kilichotokea balance ya timu imetoke hasa baada ya Cucurella kupewa maagizo ya kuoverlap kwenye kiungo ya akina Galager na Caicedo. Uwe unafuatilia mpira badala ya kueleza maoni yako. Source ya kucheza vizuri ni balance iliyosababishwa na Cucurella
 
Mkuu naeleza maoni yangu baada ya kuufatilia mpira.
 
Wataje hao average players
Sanchez, Petrovic

Badiashile, Disasi, Chalobah

Galagher, chukwuemeka, Sterling, Enzo

Mudryk, Madueke, Jackson

Hawa ni wachache sana wanakua na uwezo wa kutoboa kufikia daraja la juu mfano ni Rudiger mostly wanajituma bidii nyingi zaidi. Wengi wao huwa wanaishia hapohapo mfano Kovacic ni average anajitutumua lakini wapi utamuona mechi moja moja anapotea.
 
Kwa yaliyotokea sidhana kama poch ni mtu sahihi
Anachokifanya now ni kuokoa kibarua tu next season akiendelea kuwepo huyu tutaendelea kulia vile vile

Ni mgumu kutatua shida ,na nimgumu kufanya mabadiliko
 
Kwa wasio mfahamu Saka, ni mchezaji wa zamani wa Arsenal, amestaafu soka mwaka 2001
 
Kumbe kitendo cha CUCU kuingia ndani katika kiungo kwa kiingereza ndo huitwa KUOVERLAP? [emoji23]

Acha kabisa kuweka maneno ya kiingereza usiyoyajua yanamaana gani mkuu, UNAONEKANA MJUAJI (unaonekana unaandika nonsense)[emoji120]
 
.
Kumbe kitendo cha CUCU kuingia ndani katika kiungo kwa kiingereza ndo huitwa KUOVERLAP? [emoji23]

Acha kabisa kuweka maneno ya kiingereza usiyoyajua yanamaana gani mkuu, UNAONEKANA MJUAJI (unaonekana unaandika nonsense)[emoji120]
Hii App ya JF ni mbovu sana najitahidi kuandikà ila inaweka hayo maneno nonsense
Hapo nilimaanisha kuoverload sehemu ya kiungo ili kuwalinda mabeki. Sorry mkuu
 
  • Cucurella alishinda 9
  • Caicedo alishinda 9
  • Gallagher alishinda 8
Safu hii ya kiungo inalinda safu ya ulinzi vizuri. Pambano hushinda katika safu ya kati ili safu ya ulinzi isifichuliwe
 
Kumbe kitendo cha CUCU kuingia ndani katika kiungo kwa kiingereza ndo huitwa KUOVERLAP? [emoji23]

Acha kabisa kuweka maneno ya kiingereza usiyoyajua yanamaana gani mkuu, UNAONEKANA MJUAJI (unaonekana unaandika nonsense)[emoji120]
Hata overlap inaweza tumika hapo japi overload ni sahihi zaidi
Overlap maana yake ni kuingilia eneo lisilo lako. Nenda kacheki kamusi.
 
Mauricio Pochettino:

"Tukiongelea uchezaji, nadhani tuna uhakika kama tulistahili pointi tatu na kuzungumzia uchezaji mzuri tupo kwenye nne bora, matokeo na ushindani ni tofauti na nakubaliana na ninyi [Mashabiki] kuwa hatukushindana vyema mwanzoni... "

[kupitia Chelseafc]
 
Pochettino kasema yuko gizani, hajui kama wamiliki wako nyuma yake au la. Amedai hajui kama atakuwepo msimu ujao.

Mauricio Pochettino: "If there's a decision and someone says to me 'ciao', okay. But because we don't know at the moment, then I suppose I will be here.

You need to ask the club, whether the club wants me or not." standard.co.uk/sport/football… #CFC
 
EXC | Estevão hakuna kilichosainiwa na klabu yeyote ile.. Chelsea ni miongoni mwa vilabu vilivyoonyesha nia kubwa ya kutaka kumsajili mchezaji huyo, hakuna ofa rasmi inayotarajiwa.

Timu kama ManCity, Liverpool na PSG wanafanya mazungumzo kwa ajili ya mchezaji huyo. Bei ya kuanzia itakuwa kubwa kuliko 50M.

View: https://x.com/edu17burgos/status/1786143708754174359?s=09
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…