Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi nimesema akifika miaka 23 yrs (msimu ujao tu) tutaanza kuona mema ya Jackson na sijasema tusubiri hadi afikishe miaka 28
Jackson ana covertion rate kubwa zaidi ya Nunez aliyenunuliwa mil 100
Jackson kamisi big chances 19 au 20
Watkins 20+
Nunez 25+
Haaland 30+

Bado mimi namuona Jackson ni mtu ambaye anacheza vizuri na hapa sio kocha wala yeye wa kumlaumu
Failure ya Chelsea au Pochettino haipo kabisa kwa Jackson
Watu waliomzunguka Jackson ni hovyo kabisa na hii ni lawama ya Pochettino kushindwa kupamga safu vizuri na rafiki kwa Jackson na wengineo huko mbele, kushindwa kufanya sub za maana pale inapotakiwa, kushindwa kuelewa mchezaji huyu anacheza vizuri akiwa wapi na akicheza na kombo ya nani?
Saa nyingine mbele wanajitahidi kucheza vizuri kufunga vizurei ila kule nyuma Poche karundika mabeki wa hovyo
Yeye ameone mara nyingi Badisahile anaitosa timu ila bado yeye anamuamini sana, nani alaumiwe hapo? Badiashile au kocha? simple logic
 
Enzo atakosa mechi zote zilizosalia hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa hernia ambayo imekuwa ikimsumbua katika kipindi cha miezi 5 iliyopita
 
Jackson ni Drogba mtupu namuona[emoji1783][emoji1783]...anahitaji viungo wa kumlisha mipira awe anatupia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jackson ni mkulima wa tumbaku yule , sijui ilikuwaje akawa mcheza mpira
Mpuuzi sana yule mtoto
 
Enzo atakosa mechi zote zilizosalia hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa hernia ambayo imekuwa ikimsumbua katika kipindi cha miezi 5 iliyopita
Afadhali kabisa ili akirudi arudi kichujaa
 
Enzo Fernandez atakosa msimu uliosalia wa Ligi ya Premia baada ya kufanyiwa upasuaji ili kushughulikia jeraha la paja kwa wakati kwa ajili ya Copa America.

Picha chini ya Enzo baada ya upasuaji

 
Orodha ya mameneja watatu (3) waliowekwa kwenye foleni endapo Chelsea itapeana mgongo na Pochettino majira ya joto, kulingana na TEAMtalk.
  • Ruben Amorim
  • Hansi Flick
  • Roberto De Zerbi
Je ni yupi unamuona atakuja kuiboresha timu iwe na balance ya kushinda makombe

 
Hakuna kocha hapo ushauri wa bure kachukueni iniesta , atawasogeza sogeza
 
Mashabiki wa Bayern Munich wameiomba klabu hiyo kumbakisha Thomas Tuchel kama kocha wao mkuu kwa msimu ujao, wakisema mgombea mwingine "hawashiki mshumaa" kwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 50.

Ombi lenye kichwa ‘Tunataka Juppel (Tuchel) na si (Ralf) Rangnick!’ lina sahihi zaidi ya 10,000, likiwa limezinduliwa Jumanne.

Maoni yangu

Hivi kumbe sio wamiliki wetu na bodi yetu ndio yenye maamuzi ya kijinga?
Hao Bayern Munich wamuondoe Tuchel halafu wamlete Rangnick kweli wana akili timamu?
 
Bodi walikuwa wamemweleza Pochettino moja kwa moja kuacha kutaja "ukosefu wa uzoefu katika kikosi" wakati wa interview na press conference zake. Pochettino bado alifanya hivi, mabosi wa juu hawakufurahishwa sana na hii.
 
THE BLUES akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani wakiombeleza timu yao imewambwa msalabani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio kweli, Chelsea akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mitaani wamevaa bikini za blue huku wanatingisha makalio kama bata mzinga[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yule kaka mwenye avatar ya kiduku
Na I'd ya minambanamba Yuko wapi?

Alikuwa anapiga domo sana
Nahisi idadi ya magoli waliyofungwa Chelsea inakaribia Ile minamba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…