Kuna sehemu kule twitter baada ya kuona line up nikaandikaKinachoumiza sio kufungwa bali ni performance
Huwez kwenda emirates sasa hiv na lime up
Ya vile kama vile unaenda cheza na plymouth
Mgumu sana kubadilika na hawez badilika
Sifa kuu za Pochettino tangu ajeMkuu ukitoa hizo chance kuna chance nyingine tena unahisi zilitengenezwa.
Angalia Arsenal Chance ngapo wamecreate halaf sisi sasa
Ni rahisi sana kumtabiri Poch.
Katika chance ulizozisema hapo mbili zimepatikana 1st half na 1 second half
Poch anapenda mbio mda wote na arteta alichofanya kipindi cha kuzuia hizo na kutupin mda wote tubaki nyuma.
Ushawah ona siku Poch kafanya tactical change????
Ushahidi mzuri ni kwamba Cucurella alimuweka mfukoni Saka, Arteat akagundua dawa ni kumuweka Ben White aambatane na Saka, wakati Cucurella yuko bussy na Saka, yeye anaenda tu uani, wina ndie alitakiwa kumtarct White lakini alichwa kuwa hru akatuliza 2-0Ni rahisi sana kumtabiri Poch hana mbinu the way anavyoiset up team yake ndio hivyo nq arteta alichifanya kumsoma kidogo na 2nd half moto ukawaka.
Huku yule muargentina tactically kichwami ni zero
Maamuzi katili la kwanza nikumfukuz yeye mengine ndio yafate.Mauricio Pochettino ameuambia uongozi wa Chelsea kwamba lazima wafanye maamuzi ya kikatili katika dirisha lijalo la majira ya joto.
Alisema klabu inahitaji kuja na mkakati mzuri zaidi ili kuepukana na usiku wenye maumivu kama huu usijirudie tena.
Maoni yangu
Simpendi sana Pochettino, lakini lazima nikiri kwamba katika issue hii, ninakubaliana naye kabisa. Pochettino muadhirika namba 1 wa maamuzi ya kipumbavu yaliyofanywa na wamiliki na wakurugenzi kutekeleza sera za kijinga mwanzoni mwa msimu, ambazo zilihusisha tu kusajili wachezaji chipukizi wasio na uzoefu ili kushindana kwenye ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL.
View attachment 2972704
Kocha mkubwa zaidi ya huyu asingekubali kuja Liverpool, wamiliki ni wabahili sanaArne Slot huyo anaenda liverpool kama kila kitu kikienda sawa.
Tuchambue hizo timu ili iwe?Ebu tuchambue baadhi ya timu ambazo kocha mpya ameleta impact kubwa sana msimu huu
- Levakusen
- Crystal Palace
- .........
Kwanza naomba mtupe uzoefu wenu. mliwezaje kusurvive na timu mbovu kiasi kile kwa miaka karibu 20?Tuchambue hizo timu ili iwe?
Tuendelee kuchambua ile 5G ya Asenali bhana ndiyo inanoga
Uzoefu huwa hauelezewi...ila unajikuta unaishi nao tu...bdo kuna kama 6 mtakuja kupigwa siku nyngne na wababe wengine halafu roho haitauma....ikishafika hyo level Sasa...mtakuwa mmekwalifai kuwa magangweπ€ π€ π€Kwanza naomba mtupe uzoefu wenu. mliwezaje kusurvive na timu mbovu kiasi kile kwa miaka karibu 20?
Tupeni bana ,maana tunaelekea huko tusije tukawapoteza ndugu zetu njiani
Niko Serious
Arsen wote mlioishi tangu 2005 ya invisible ebu tuambieni sasa
Unapochangia mada hii kwanza utaje ulianza kuwa shabiki wa Arsenal lini, isije kuwa ulianza wakati wa Arteta halafu ukatuzungusha tu hapa hapa. Sisi Chelsea tuko serious hatukuzoea kuishi na StressUzoefu huwa hauelezewi...ila unajikuta unaishi nao tu...bdo kuna kama 6 mtakuja kupigwa siku nyngne na wababe wengine halafu roho haitauma....ikishafika hyo level Sasa...mtakuwa mmekwalifai kuwa magangweπ€ π€ π€
Kumbuka enzi hizo usumbufu mkubwa kwetu ulikuwa kupata ubingwa na kulipa deni la Emirates stadium. Tulikuwa hatukosi top 4 na kuingia UCL ila bado hatukuweza kuwekeza kwa wale wachezaji wakali katika form. Tulijitahidi kukuza tuliokuwa nao na pale tulipopata wazuri au wale tuliowakuza, kama kina Nasri, Fabregas, Van Persie, walikuja kuchukuliwa na timu zenye pesa na mafanikio kutuzidi.Kwanza naomba mtupe uzoefu wenu. mliwezaje kusurvive na timu mbovu kiasi kile kwa miaka karibu 20?
Tupeni bana ,maana tunaelekea huko tusije tukawapoteza ndugu zetu njiani
Niko Serious
Arsen wote mlioishi tangu 2005 ya invisible ebu tuambieni sasa
Ukweli ni kwamba kilichowanyima makombe ni kuwa na academy kwenye EPL na ubahili juu wa Wenga na wamiliki. Sasa sisi tunahitaji ulenge point mambo ya top 4 hata sisi tutaingia tu sio muda mrefu ila makombe ndio nawasiwasi itatuchukua miaka ishiri kwa sababu ya wamiliki wanataka kukaa na kocha muda mrefu na kocha mwenyewe ni Pochettino anakuaj kuunda Totenham Hotspurs B huku kwetuKumbuka enzi hizo usumbufu mkubwa kwetu ulikuwa kupata ubingwa na kulipa deni la Emirates stadium. Tulikuwa hatukosi top 4 na kuingia UCL ila bado hatukuweza kuwekeza kwa wale wachezaji wakali katika form. Tulijitahidi kukuza tuliokuwa nao na pale tulipopata wazuri au wale tuliowakuza, kama kina Nasri, Fabregas, Van Persie, walikuja kuchukuliwa na timu zenye pesa na mafanikio kutuzidi.
Miaka ya mwisho ya Wenger ndiyo mambo yakawa mabaya zaidi, tukaanza kuishia Europa na mpaka kuikosa hata hiyo. Timu zingine zikaimarika zaidi kwa kupata wamiliki wapya matajiri na kutusumbua zaidi. Kweli tukawa tunashindwa kushindana ipasavyo mfukoni na uwanjani.
Bahati moja tuliyopata miaka kama 6 hivi karibuni ni Kroenke kununua deni la Arsenal la Emirates. Hivyo sasa Arsenal inamlipa yeye kwa riba rafiki zaidi na kuweza kuwekeza kwenye wachezaji wazuri na wa gharama. Makocha pia wamesaidia, Emery na Arteta kwenye upande wa uwanjani na kama mambo yakiendelea hivi, Arsenal itakuja kuwa tishio sana.
Upande wenu, Abramovich aliwasamehe deni lenu kwake akaacha timu ikiwa haina deni. Zaidi ya hapo mkapata tajiri aliyemwaga mipesa ya kutosha mpaka kikombe kufurika, hivyo nyie hampaswi kuwa hapo mlipo. Hii ni kwa mawazo ya kikawaida tu.
Mimi nakuambia hali ilivyokuwa, wew unasema ukweli ni kwamba...Ukweli ni kwamba kilichowanyima makombe ni kuwa na academy kwenye EPL na ubahili juu wa Wenga na wamiliki. Sasa sisi tunahitaji ulenge point mambo ya top 4 hata sisi tutaingia tu sio muda mrefu ila makombe ndio nawasiwasi itatuchukua miaka ishiri kwa sababu ya wamiliki wanataka kukaa na kocha muda mrefu na kocha mwenyewe ni Pochettino anakuaj kuunda Totenham Hotspurs B huku kwetu
There is recognition within the Chelsea board that keeping Mauricio Pochettino, no matter what, would give Chelsea some much needed stability. (@Matt_Law_DT)
Bodi ya Chelsea inatambua kwamba kumbakisha Mauricio Pochettino kwa muda mrefu, hata iweje, kungeipa Chelsea utulivu unaohitajika. (@Matt_Law_DT)
Mimi nakuambia hali ilivyokuwa, wewe unasema ukweli ni kwamba...Ukweli ni kwamba kilichowanyima makombe ni kuwa na academy kwenye EPL na ubahili juu wa Wenga na wamiliki. Sasa sisi tunahitaji ulenge point mambo ya top 4 hata sisi tutaingia tu sio muda mrefu ila makombe ndio nawasiwasi itatuchukua miaka ishiri kwa sababu ya wamiliki wanataka kukaa na kocha muda mrefu na kocha mwenyewe ni Pochettino anakuaj kuunda Totenham Hotspurs B huku kwetu
There is recognition within the Chelsea board that keeping Mauricio Pochettino, no matter what, would give Chelsea some much needed stability. (@Matt_Law_DT)
Bodi ya Chelsea inatambua kwamba kumbakisha Mauricio Pochettino kwa muda mrefu, hata iweje, kungeipa Chelsea utulivu unaohitajika. (@Matt_Law_DT)
Unapochangia mada hii kwanza utaje ulianza kuwa shabiki wa Arsenal lini, isije kuwa ulianza wakati wa Arteta halafu ukatuzungusha tu hapa hapa. Sisi Chelsea tuko serious hatukuzoea kuishi na Stress
Kama kweli ninyi ni binadamu na mna utu mtusaidie