Niliangalia mechi lakini sikumuona kabisa Mudryk. Nilishangaa sana kusikia amefanyiwa sub.Alama za uchezaji kwa wachezaji wa Chelsea dhidi ya Arsenal jana
-Mauricio Pochettino - 0
Hakuwa na mbinu yeyote ya kujilinda wala kufunga magoli, kazembea makosa ya wachezaji hadi tukafungwa mabao matano bila
-Djordje Petrovic - 6
Alifungwa mabao matano, lakini kwa uungwana, aliokoa mabao kama 8, yaani asingeokoa tungefunkwa mabao 13-0.
-Alfie Gilchrist - 3
Kutupwa katika kina cha maji marefu huku hana uzoefu wa kuogelea
Axel Disasi - 3
Sehemu ya safu ya ulinzi iliyoruhusu mabao matano, bila kupata hakiki nzuri.
Benoit Badiashile - 4
Ilianza vizuri ila baadaye akaanza kupoteza mipira hovyo na kuonyesha ulegevu katika kumkabili adui anaposhambulia
Marc Cucurella - 5
Ilionekana kufanya vizuri mapema katika kipindi hicho cha kwanza tulipokuwa kwenye mchezo. ila baadaye alizidiwa na Saka na White kwa pamoja bila wenzake kumsaidia
Moises Caicedo - 4
Kapotezwa na kasi ya wachezaji wa Arsenal na hakukuwa na lzaidi kufanya kwenye tim u ya Chelsea ambayo haikuwa tayari kutoa ushirikiano kwenye kukaba
Conor Gallagher - 5
alijitahidi sana kucheza ila uwezo wake haukuunmgwa mkono na wenzake
Enzo Fernandez - 4
Tena kama Caicedo, kapotezwa kabisa
Noni Madueke - 3
Angalau alijaribu kuchukua watu wachache hapa na pale lakini hakuweza kusaidia timu kujilinda
Nicolas Jackson - 6
Alijitahidi sana kupeleka mashabulizi mbele lakini alijikuta yuko peke yake mbele kama mgeni aliyepotea porini
Mykhailo Mudryk - 2
Hakuonyesha chochote. Hakuna akili ya mpira, kama vile hakuwa na hamu ya mpira, hakimbii, hakabi wala kukimbia uwanjani. Alitisha sana.
Heri zako wewe unaejua hongera. Wewe ndio huwa unaleta ViIdea vya ambangile siku ukiona Amekufurahisha. Ili tu kuprove point zakoHuna unachojua wewe. Mnaangalia mipira kwenye tv mnakuja kutusumbua huku na vi idea vya kina George Ambangile hata kupiga danadana 8 hamuwezi
Kaeni na ushabiki maandazi wenu
wanavyotusagiaga kunguni nilidhania ya kwao wameyaweka sawaKipigo kidogo tu mmeanza kutukanana
Ndugu mimi siwezi kuwa mnafiki kwenye maisha yangu. Hujanitaja au umenitaja mimi hiyo comment imekulenga weweSijakuzungumzia wewe Na hakuna sehemu nimekutukana hapo sawa.
Unajihisi ni wewe fresh
iNi rahisi sana kumtabiri Poch hana mbinu the way anavyoiset up team yake ndio hivyo nq arteta alichifanya kumsoma kidogo na 2nd half moto ukawaka.
Huku yule muargentina tactically kichwami ni zero
Hyu Mkohoti Kila siku alikuwa anatutishia Mudiriki bwana🤠🤠....jana kacheza Sasa sikuona alichokuwa anafanya....laanq ya kutupora yle mtoto itawatqfuna sana....yle anacheza pale Chelkenge ila ndonga lake na moyo wake vipo ArsenalMkohoti atabisha
kuna kitu unachokosea mkuu hakuna mtu anaekataa baadhi ya wachezajiKuweni na akili na muwe mnaelewa tunayotasema mjinga mwenyewe. Huwa nasema siku zote matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake kama mnavyoshupalia. Sijui mmejifunzia wapi mpira nyie. Anyway endeleeni na litimu lenu mkiamini kocha peke yake ndio tatizo Pumbav
Namaanisha Pochetino. Na sio EnzoMuargentina tactically kichwani ni zero tena😂😂😂...yle mnamuonea tu...jamaa anacheza na hernia yake...anajitoa sana kwa timu yake ila ndo hvyo tu
i
Nataman Mudryk angeenda Arsenal Kuna mchezaji mule ni vile tu ajapata Kocha wa kumuongoza vizuriHyu Mkohoti Kila siku alikuwa anatutishia Mudiriki bwana🤠🤠....jana kacheza Sasa sikuona alichokuwa anafanya....laanq ya kutupora yle mtoto itawatqfuna sana....yle anacheza pale Chelkenge ila ndonga lake na moyo wake vipo Arsenal
Hawa wote wapeleke kwa makocha wanaojielewa mpeleke kwa Arteta,Pep,Klopp uone shughuli yakeEnzo hela nyingiii ushuzi kabisa na caisedo wake,,,,, mwendo wa kubanduliwa tu
Tupigwe tu game zilizosalia akili zikae sawaSasa huyu Villa atakachokwenda kutufanya 😭
Una akili mpk zinamwagika mkuu🤠🤠...mazingira ya Sasa a Chelsea ni very toxic...TAfuteni Mwalimu wa kutengeneza project yake....vngnevyo mtazima sana moto safari hiiHawa wote wapeleke kwa makocha wanaojielewa mpeleke kwa Arteta,Pep,Klopp uone shughuli yake