Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Jackson kama MzizeJackson ni mchezaji mzuri ila inabidi aboreshe sana maamuzi yake katika nyakat sahihi mengine yote anayafanya vizuri ila linapokuja swala la maamuzi hapo tu ndio anapowakera watu
kila mbuyu na....Wanangu kazeni mmote city FA
iwe rahisi kwa man utd kulibeba kombe
Chelsea vs Man City kwenye Nusu Fainali ya Kombe la FAKocha wetu anapenda kuforce mambo yote hayo kwasababu yakutaka wacheze wote Enzo, Caicedo na Gallagher
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chelsea ikicheza mashabiki wake wanapita mitaani huku wamevaa bikini na kutingisha makalio kama bata mzinga.
Kenge kabisa nyinyi. View attachment 2969418
Utoto unatucost sometimes ,sasa Jackson clear chance kama zile anatingisha kalio tu ,upewe clear chance zipi ili ufunge ?Chelsea vs Man City kwenye Nusu Fainali ya Kombe la FA
Enzo hakutakiwa kucheza leo, ilitakiwa kuwa Sterling Palmer na Madueke wakitengeneza safu ya mashambulizi matatu nyuma ya Jackson. Lakini licha ya kila kitu, timu ilicheza vizuri sana. Ikiwa wataendelea kutumia fomu hii, tunaweza kupata na kupata nafasi katika nafasi ya 6 au 7.
Mimi ninayo kidogo kama nilivyoeleza kule. Naona Enzo kalazimishwa kuchezaKwa game ya leo sina lawama kwa Poch, Tumecheza vizuri ila ni sisi wenyewe tumeshindwa kutumia nafasi zetu.
Next Vs Arsenal J5 (PL) a must win game katika mbio za kuwania Europa upande wetu
KTBFFH
Kuna watu wanadai Pochettino asilalamikiwe
Pamoja na kwamba tulicheza vizuri ila bado anastahili lawama
Jukumu la kupanga kikosi ni la Kocha. Ningekuwa katika nafasi yake, nisingemlazimisha Enzo kucheza lakini badala yake, ningemchagua Sterling upande wa kushoto, Palmer katikati, na Madueke upande wa kulia. Mbali na hayo, kila kitu kingine kilikwenda sawa. Safu ya kiungo na mabeki ilionyesha kubalance na utulivu mkubwa, na mpito mpira ulikuwa bora sana kuliko hata Man city. Walakini, umaliziaji wa Jackson kama kawaida yake, ulikuwa ni janga kubwa.