Ukiacha assists ya leo magoli mengiune mawili ilikuwa juhudi ya Jackson, anakuwaje takataka, kwani kuna mchezaji asiye na kasoro?Jackson anakasoro zake ila Kuna mda mnamkosea heshima mule kuna mchezaji ni vile tu bado ajawa na maamuzi sahihi katika wakat sahihi ila vitu vingine vyote uwanjan huwa anafanya kwa usahihi
Bila kusahau ana 10goal epl katika msim wake wa kwanza
Jackson ni takatakaUkiacha assists ya leo magoli mengiune mawili ilikuwa juhudi ya Jackson, anakuwaje takataka, kwani kuna mchezaji asiye na kasoro?
Wewe munadhamani gani, je unafikisha hata mil 1???😀😀😀😀😀Jackson ni takataka
Kuna wakat sisi mashabiki huwa tunashida kwa baadhi ya wachezaji.Ukiacha assists ya leo magoli mengiune mawili ilikuwa juhudi ya Jackson, anakuwaje takataka, kwani kuna mchezaji asiye na kasoro?
Rating ya leo against EvertonKuna wakat sisi mashabiki huwa tunashida kwa baadhi ya wachezaji.
Nimeona kule Twitter, sasa Pochettino ndio ataanza kujenga mahusiano na mashabikiPochettino on if players do the same thing on a penalty again: “Next time they’re all out”
vizuri sasa unaact kama kocha sasa kwenye hilo.👏🏿👏🏿👏🏿
Sijaanza kuangalia mpira leo. Sijawahi kumkubali Pickford toka siku ya kwamza anaitwa timu ya taifa
Ndg, Jackson ana goli na assists
Kati ya wachezaji watatu hotcace kwa sasa pale Chelsea, Jackson ni wa tatu baada ya Palmer na Gusto, ufuatilie mpira ndipo umhukumu mchezaji
Theo Walcot anasema goli la Jackson ni aina kama umaliziaji wa Drogba
Lembu mkuuu mwepesi kuamini sana naw utaanza kunsifu pochi neneNimeona kule Twitter, sasa Pochettino ndio ataanza kujenga mahusiano na mashabiki
Hujaleta yote aliyosema, alianza kwa kuwaomba mashabiki msamaha
Siku zote tunasema hawa watoto usipowakemea hawatafanya waliotumwa kufanya uwanjani
Jackson kwa mfano kabla ya goli la leo alikuwa na njano 9 na goli 9
Poch akiwa serious tunao uwezo wa kuipata namba 6/7 kwa mech zilizosalia ahakikishe tusifungwe kizembe
Jackson ni takataka naunga mkono hoja anacheza kama anaumwa hana mabao yakumtambulisha kama mshambuliaji ni bahat bahati tuUnadhani huwa sifuatili? Anakokota mipira sehemu ya kutoa pasi mpaka anapoteza mipira. Jamaa no takataka sana
Shida ni safu ya ulinzi .. ushambuliaji uhai upo kupitia kwa palmer na hao wengine wanaojikokota kama madueke na JacksonUmecheki ratiba inayo fuata kweli? Kwa huyo kilaza tutarudi namba 11
Yaani yeye Jackson ili nimwele aanze kuweka ukakamavu yaani aache tabia za morata aliyechangamkaKuna wakat sisi mashabiki huwa tunashida kwa baadhi ya wachezaji.
Hamko seriously mtu anafunga kama hajala wiki ni wa kufananishwa na drogba kweli ebu kafanyeni reviewSahihi kabisa, binafsi nilimkumbuka Drogba pale alipo geuka kufunga lile goli.