Tumeshinda ki bahati tu, hamna timu pale. Caisedo na Enzo hawa ni viungo gani wanatoa pasi mkaa, pasi hazifiki kwa mlengwa, inasikitisha sana viungo wa bei kubwa kiasi kile ata kupiga pasi ifike mahala husika hawawezi. Mabeki wetu ni hamna kitu kabisa, kocha ndio kilaza kabisa hamna mtu mle. Kiufupi ukimtoa Palmer na Petrovic wengine wote ni matakataka, huo ndio ukweli mchungu.
Wataalamu wa mpira wakija hapa watakuambia ni wachezajiMnakumbuka niliwambia hii kitu? Kiufupi hatuna Kocha, Poch ni kilaza sana. Huyo jamaa ni wakufukuza hafai kuwa Chelsea.
Kwaio shida ni pochinene au ufupi wa kina Badiashile 😂😂😂😂Huyu Dean naye hadi juzi alikuwa ni mpambe wa kumfia Pochettino, lakini baada ya mechi amesalimu amri
Kwa Pochettino kila anayejiita ni mpenzi wa Chelsea na kumsupport Pochettino atatoka humo, bado kidogo wote tutaongea lugha moja.
View attachment 2957304
Issue ya urefu na ufupi kwenye mpira ni siasa tu,urefu hauchezi mpira tunaangalia skills. Mfano upewe konate na silva halafu umchague konate? Utakuwa hujitambui Chelsea imeishiwa mbinu tukubali tuWanadhani kuwa mrefu sijui ndio kigezo.
Tulikuwa na Ivanovic/Carvalho walikuwa wafupi ila lilipokuja swala la mipira ya juu ulioma kabisa jinsi walivyokuwa wanajilinda
Waangalie Arsenal Gabriel anaurefu sawa na Disasi
Badiashile kawazidi urefu Gabriel na Saliba wote kwa pamoja
Kiwior almost anataka kulingana na Silva na Colwill
Waangalie wakina Marquinho ni wafupi ila mipira ya juu angalia wanavyodefend
Mkubal Poch ameshindwa isuka defenc yetu
hamna kitu humu.Chelsea wameamua kuwaibia wapinzani wao na kumsajili nyota wa Athletic Bilbao Nico Williams.
{Football Insider}
View attachment 2958206
Kwa hiyo sisi wengine lini tutapata nafasi ya kusaini mchezaji mwenye madredi?Chelsea wameamua kuwaibia wapinzani wao na kumsajili nyota wa Athletic Bilbao Nico Williams.
{Football Insider}
View attachment 2958206
Chelsea wameamua kuwaibia wapinzani wao na kumsajili nyota wa Athletic Bilbao Nico Williams.
{Football Insider}
View attachment 2958206
[emoji1656][emoji1656][emoji1656]View attachment 2958215