Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 508
- 711
Saliba na gabriel ni wachezaji wa kawaida tu lakini jinsi wanavyocheza ule muungniko ni hatari sijaona pale eplCoaching coaching mkuu
Angalia Arsenal wanvyodefend unahisi ni individual zile bali yote yanaanzia mazoezini na jinsi kocha alivyoisuka
Watu hawataki kuelewa hiloSaliba na gabriel ni wachezaji wa kawaida tu lakini jinsi wanavyocheza ule muungniko ni hatari sijaona pale epl
Tuendelee kuwalaumu wachezaji 😂😂😂😂😂😂 kama mnavyotakaAngalia tulivyozidiwa
MASHUTI:
Sheffield United - 11 - Chelsea -6
MASHUTI KWENDA GOLINI:
Sheffield United - 6 - Chelsea - 3
NAFASI KUBWA ZILIZOTENGENEZWA:
Sheffield United- 3 - Chelsea - 1
MASHUTI NDANI YA BOX:
Sheffield United - 8 - Chelsea - 3
MIPIRA YA JUU ZILIZOFANIKIWA:
Sheffield United - 55 - Chelsea - 47
KONA
Sheffield United - 7 - Chelsea - 6
Unamaanisha 28/10/2023 maan hiyo yako haijafika badoWana-Chelsea hongereni kwa kuwa wazalendo wa timu hii.
07/04/2024 baada tu ya kuangalia mpira Man U vs Liverpool leo niliondoka kujipumzikia home na familia sababu nilijua lazima Chelsea SC utanipatia BP isiyo na ulazima kimatokeo, kumbe ni kweli kabisa.
Pochetinho ni mid table EPL coach tukubali tukatae, tangu 28/10/2024 tupokee kichapo 2-0 kwa Brentford nilisusa kabisa kuteseka kwa kubinya korodani kwenye vibanda umiza ili Chelsea SC ishinde lakini nilikuwa natwanga maji tu kwenye kinu sababu Bodi ya Chelsea SC imechukua Dereva wa bajaji (kocha mdogo kiuwezo) ikamkabidhi fuso mpya (Chelsea SC yenye Wachezaji wapya) inayohitaji Dereva mbobevu na mkubwa kiuwezo (Kocha mwenye mafanikio toka klabu kubwa) duniani.
Tuendelee kuugulia maumivu Wana-Chelsea maana bodi haijitambui kwa kutokuwa na chaguo sahihi la Kocha na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Muhimu tusife na tai shingoni maana starehe ni nyingi sana zaidi ya football pekee, see you next time the Blues fans if the God wishes.
Issue hapa tujiulize, kwa nini wachezaji wanachoka haraka na kukata breki?Tuendelee kuwalaumu wachezaji 😂😂😂😂😂😂 kama mnavyotaka
Mkuu hoja ya ufupi nilichomeka tu ila kocha anaonyesha kabisa ameishindwa hii squadMkuu hoja ya ufupi ni ya hovyoo.
Poch kwenye swala kujilinda ameshindwa na swala la Kucontrol game ameshindwa
Hata wakat wa Lampard tulikuwa tunaona wachezaj ni wafupi n mabeli ni wabovu alipokuja Tuchel defens ilikaaa sawa na hilo linakuka swala la Coaching
Ahsante kwa usahihi, ndivyo nilivyomaanisha Chifu, kiujumla sipendi stress zinazoepukika [emoji1787]Unamaanisha 28/10/2023 maan hiyo yako haijafika bado
Lakini hapo sijalaumu wachezaji na sijawahi kuwalaumu wachezaji, mimi naamini wachezaji wanafuata wanachofundishwa na kuelekezwa na kocha, inaposhindikana maana yake aidha walishindwa kumuelewa au mafunzo na maelekezo ni duniTuendelee kuwalaumu wachezaji 😂😂😂😂😂😂 kama mnavyotaka
Sijasemq kwa ajili yako ila nimesema kwa wale wa Watu wanaohisi Wachezaj ndio shidaIssue hapa tujiulize, kwa nini wachezaji wanachoka haraka na kukata breki?
Hayo mazoezi au kuna jambo jingine wanafanya huko Conham?
Na hapo ndio hatupo kweny michuano ya ulayaMauricio Pochettino adai kuwa kikosi cha vijana cha Chelsea hakijazoea ratiba ya EPL iliyosongamana.
"Ukiwa na umri wa miaka 52, unatambua kwa haraka kama timu iko tayari kushindana au la. Labda kundi hili halijakomaa vya kutosha kushindana katika michezo kila baada ya siku tatu...
"Ni timu mpya na bado tunajifunza kuhusu wasifu wao. Mchakato siku zote huchukua muda, sio jambo la ajabu ni mradi, mchakato wa miaka mitatu au mitano wa kujenga timu...
"Tuko katika nusu fainali ya Kombe la FA. Hatukuwa katika nafasi nzuri mwanzoni, lakini hiyo ni kawaida. Tunatakiwa kukubali sasa na kufanya kazi kujaribu kurekebisha matatizo yetu."
Juzi alisema ni majeruhi, leo timu haiwezi kucheza kila baada ya siku 3, kesho sijui atakuja na sababu ipi
Mlalamikaji sana huyu kocha, hiyo inatosha kujua picha yake halisi ya moyoni. Hayuko tayari kupambana bali kutoa visingizio tu
Hivi makocha wengine wanalalamika hivi kweli?