verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,249
- 6,487
Mnajadili upuuzi gani huu?Na wameshakuja
- Saka yuko kwenye timu bora kabisa,
- Yuko chini ya kocha mzuri
- Ana uzoefu wa kucheza pamoja kama timu na bado kapitwa na Palmer
- Je Palmer yuko chini ya kocha mbovu kabisa
- Yuko kwenye timu ya watoto na wageni karibia wote
- Je hayo yakibadilika na kuwa bora itakuwaje?
We Chelkenge...tunakumbushana tu Kai ni mchezaji Bora kuliko mchezaji yyte mlonaye hapo🤠🤠...hyo timu yenu inaharibu vipaji vya watu...kuku kabisa nyny
Mnajadili upuuzi gani huu?
Uwekewe Saka na Palmer kwenye kikosi chako utaanza kumpanga uyo Palmer?
Kenge hivi mna tofauti gani na manyumbu?
Hyu ni nani🤓🤓🤓....ameisaidia vipi timu mpk Sasa...ipo wapi....Kai magoli yy ametupeleka top of the table again...na j4 atatunyonyolea Bayern kuku vishingo
Palmer amenifurahisha. Akiendelea hivi atafika mbali sana.
Pamoja na Palmer kuwa wa moto, bado wengi hawajaona kwamba Arsenal inahitaji wachezaji muhimu kama Saka lakini timu kama timu haina mchezaji tegemezi kwa magoli na assisits. Hawaoni sisi ndiyo tumefunga magoli mengi zaidi na kufungwa machache zaidi kwenye ligi wakati mchezaji wetu mmoja aliyepiga hat-trick, Nketiah, hata si muanzaji kwenye kikosi chetu.Hyu ni nani🤓🤓🤓....ameisaidia vipi timu mpk Sasa...ipo wapi....Kai magoli yy ametupeleka top of the table again...na j4 atatunyonyolea Bayern kuku vishingo
Ukweli usiopingika, kama Palmer angekuwa anacheza Arsenal angemzidi Saka mara mbili kwa ubora. Lakini kwa vile sasa anachezea timu inayojengwa na watoto, anaonekana hana contribution yeyote kwa timu inayoshika namba 9 kwenye ligi na hivyo Saka anakuwa bora kwa vile contribution yake imeiweka Arsenal juu kwenye ligi. Hayo ni mawazo potofu na ni mtu mwenye damu ya ushabiki tu atafikiri hivyo. Mchambuzi wa kweli wa soka anaweka pembeni ushabiki wakati wa kuchambua sokaPamoja na Palmer kuwa wa moto, bado wengi hawajaona kwamba Arsenal inahitaji wachezaji muhimu kama Saka lakini timu kama timu haina mchezaji tegemezi kwa magoli na assisits. Hawaoni sisi ndiyo tumefunga magoli mengi zaidi na kufungwa machache zaidi kwenye ligi wakati mchezaji wetu mmoja aliyepiga hat-trick, Nketiah, hata si muanzaji kwenye kikosi chetu.
Kati ya vitu ambavyo hatutajuta ni kumuuza Havertz na Mount. Walikuwa ni mizigo kweli kweli kwenye timu
Ligi ndio hiyo inaisha, ana goli 9 na assists 5, ebu tuambieni kaimarika wapi? Mna bebwa na UPEPO usiojulikana umetoka wapi. Havertz ni yule yule kama alivyokuwa Chelsea. Mkigundua kuwa tuliwapiga msije humu kulia lia maana pesa haturudishi
Tunabebwa na upepo ambao haujulikani umetoka wapi??🤣🤣🤣...are u serious mkuu....sasa naanza kuamini ww uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kama Mkohoti....hqmna tofautiLigi ndio hiyo inaisha, ana goli 9 na assists 5, ebu tuambieni kaimarika wapi? Mna bebwa na UPEPO usiojulikana umetoka wapi. Havertz ni yule yule kama alivyokuwa Chelsea. Mkigundua kuwa tuliwapiga msije humu kulia lia maana pesa haturudishi
Mate 😎Ligi ndio hiyo inaisha, ana goli 9 na assists 5, ebu tuambieni kaimarika wapi? Mna bebwa na UPEPO usiojulikana umetoka wapi. Havertz ni yule yule kama alivyokuwa Chelsea. Mkigundua kuwa tuliwapiga msije humu kulia lia maana pesa haturudishi
Jibu swali huyo Havert amekuwa tofauti kwa lipi tofauti na Havertz wa ChelseaTunabebwa na upepo ambao haujulikani umetoka wapi??🤣🤣🤣...are u serious mkuu....sasa naanza kuamini ww uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kama Mkohoti....hqmna tofauti
Tunabebwa na upepo ambao haujulikani umetoka wapi??🤣🤣🤣...are u serious mkuu....sasa naanza kuamini ww uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kama Mkohoti....hqmna tofauti
Huenda uko sahihi. Je, unadhani aina ya uchezaji wa Palmer akiwa Arsenal chini ya Arteta utakuwa sawa na aina ya uchezaji wake akiwa Chelsea chini ya Poch?Ukweli usiopingika, kama Palmer angekuwa anacheza Arsenal angemzidi Saka mara mbili kwa ubora. Lakini kwa vile sasa anachezea timu inayojengwa na watoto, anaonekana hana contribution yeyote kwa timu inayoshika namba 9 kwenye ligi na hivyo Saka anakuwa bora kwa vile contribution yake imeiweka Arsenal juu kwenye ligi. Hayo ni mawazo potofu na ni mtu mwenye damu ya ushabiki tu atafikiri hivyo. Mchambuzi wa kweli wa soka anaweka pembeni ushabiki wakati wa kuchambua soka