juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Mtu anaesema Poch ni Kocha mzuri mpaka sasa hiv kuna haja ya kumpima akili.Kuna wazee humu watakuambia tatizo ni la wachezaji, tushukuru leo tulikuwa na manyumbu wa Serengeti
Badiashile hatakiwi hata awepo Benchi. Midfile wanatakiwa wafanyiwe rotation, Discline hakuna hata ya kujipanga. katikati ya uwanja kunakuwa na uwazi mkubwa kama uwanda wa Serengegeti
View attachment 2954061
Madueke na chwukuemeka wamebadili mchezo mm bado sioni haja ya kuanza na viungo wa3 ambao bado wanaruhusu beki kufikika kirahs2Sioni watu wakimpa credits Madueke vya kutosha kwa jukumu lake kuu la kuirejesha Chelsea kwenye mchezo katika dakika ya 90. Bila yeye, tungeweza kupoteza mechi ya leo na points zote 3. Mchango wa Madueke unastahili kutambuliwa na kupewa sifa.
View attachment 2954066
Sio kwamba hawaoni,ila hawaamini wanachokionaSioni watu wakimpa credits Madueke vya kutosha kwa jukumu lake kuu la kuirejesha Chelsea kwenye mchezo katika dakika ya 90. Bila yeye, tungeweza kupoteza mechi ya leo na points zote 3. Mchango wa Madueke unastahili kutambuliwa na kupewa sifa.
View attachment 2954066
Bila magoali yake 16 sijui now tungekuwa nafasi gani kama si mkiani.Palmer anasukuma timu kwenda mbele, Poch anasukuma timu kwenda nyuma.
EPL mzima ni Chelsea tuu ndie anayepiga penalti.?Cheltako kwa penat
Ngoja akutane na Luton sasa kuchezesha tu wowowo
We are not a well coached team.Tumeshinda ki bahati tu, hamna timu pale. Caisedo na Enzo hawa ni viungo gani wanatoa pasi mkaa, pasi hazifiki kwa mlengwa, inasikitisha sana viungo wa bei kubwa kiasi kile ata kupiga pasi ifike mahala husika hawawezi. Mabeki wetu ni hamna kitu kabisa, kocha ndio kilaza kabisa hamna mtu mle. Kiufupi ukimtoa Palmer na Petrovic wengine wote ni matakataka, huo ndio ukweli mchungu.
Yule Potter alitekua mvivu kufanya sub na akifanya sub ni hovyo, mpira haueleweki sasa hivi unamtaja hapaNaamini hata Potter angepewa team kuanzia pre season tusingekuwa hivi
Elewa nilichoandika hapo keyword “Pre Season”Kila nikikutana na sentensi kama hizi huwa naishia kucheka na kuamini kweli mashabiki huwa hawaeleweki na hufanya na kusema kulingana hisia zake zinavyomtuma wakati huo.
Yule Potter alitekua mvivu kufanya sub na akifanya sub ni hovyo, mpira haueleweki sasa hivi unamtaja hapa