Wote ni injury proneHawa wachezaji watakuwa fit baada ya International Break. Unadhani Chelsea tunaweza toboa hadi no. 7? au 6?
- Christopher Nkunku
- Romeo Lavia
- Levi Colwill
Lavia na Nkunku wasicheze kabisa mpaka walau katikati ya April. Nahofia kama watakua hawajapona vizuri ndani ya mechi 2-3 wanarudi majeruhi tenaHawa wachezaji watakuwa fit baada ya International Break. Unadhani Chelsea tunaweza toboa hadi no. 7? au 6?
- Christopher Nkunku
- Romeo Lavia
- Levi Colwill
Kocha anawapa mazoezi yasiyokuwa rafiki na misuli yao japo idara ya afya nayo imeshindwa kazi. Wao ni sehemu ya technical team ya kumshauri kocha juu ya afya za wachezaji lakini naona hawafanyi kazi yao ipasavyo.Tulikua tunawasema Pulisic na RLC ni injury prone chakushangaza hawa wameondoka na management imeleta injury prone pro max hasa Nkunku, Lavia, Fofana. Sasa kina Pulisic na RLC ndio wanawasha moto huko AC Milan na ni wachezaji tegemeo sana huoni wakipata injury huko waliko.
Hatujifunzi hata kidogo
Ndugu hebu acha hizi habari za uzushi sio vyema bhana.Kocha anawapa mazoezi yasiyokuwa rafiki na misuli yao japo idara ya afya nayo imeshindwa kazi. Wao ni sehemu ya technical team ya kumshauri kocha juu ya afya za wachezaji lakini naona hawafanyi kazi yao ipasavyo.
Chelsea doctors ni department mbovu dunia nzima hata za timu zetu simba na yanga haziwez kuwa hivyo ni wajinga hawafai hata kuigwaTulikua tunawasema Pulisic na RLC ni injury prone chakushangaza hawa wameondoka na management imeleta injury prone pro max hasa Nkunku, Lavia, Fofana. Sasa kina Pulisic na RLC ndio wanawasha moto huko AC Milan na ni wachezaji tegemeo sana huoni wakipata injury huko waliko.
Hatujifunzi hata kidogo
Wewe kila kitu ni uzushi kwa sababu uko ndani ya box nene, ni ngumu kuhabarikaNdugu hebu acha hizi habari za uzushi sio vyema bhana.
Hivi ukiona bench la ufundi unahisi kunakua na watu gani? Majukumu yao yanakua hasa ni kwenye nini?
Tatizo mnachukulia vitu simple simple sana. Nimecheza mpira mpaka ngazi ya mkoa ambayo ni very local na ni muda kidogo lakini kwa experience yangu mara kadhaa tulikua tunaletewa mtu wa mazoezi ya viungo tukiwa camp kwa maandalizi.Wewe kila kitu ni uzushi kwa sababu uko ndani ya box nene, ni ngumu kuhabarika
Kwani benchi la ufundi linajifanyia tu mazoezi au chini ya mwongozo wa Poche. Mbona kama mnaendelea kumtenga Poche na majukumu yake. Hakuna kinachofanyika kwenye mazoezi bila head coach, kuanzia ratiba aina ya mazoezi muda wa mazezi, intesity ya mazoezi nk.Tatizo mnachukulia vitu simple simple sana. Nimecheza mpira mpaka ngazi ya mkoa ambayo ni very local na ni muda kidogo lakini kwa experience yangu mara kadhaa tulikua tunaletewa mtu wa mazoezi ya viungo tukiwa camp kwa maandalizi.
Leo hii unataka kuanza kutujaza Poch huwa anawapangia koni wachezaji kuwapigisha tizi kina Caicedo wale watu wa bench kazi yao ni nini? Poch kazi yake kusimamia mazoezi kwa kushirikiana na watu wake wa viungo pamoja na makocha wengine wa makipa n.k It all about proffessionalism kama isingekua ivyo tusingekua tunaona kundi kubwa la watu kwenye mabench ya makocha.
Mkuu hebu kubali kuufungua ubongo wako. I believe you are smart than this bro
Halafu sijui kwa nini ulijibu hivi, hii inaonyesha husomi coments za wenzako yote. Nime-mention hadi idara ya medical ila wewe umechukua tu ile ya kumtetea Pochettino, inaonyesha jinsi ulivyomfia huyu jamaa wenu Poche.Tatizo mnachukulia vitu simple simple sana. Nimecheza mpira mpaka ngazi ya mkoa ambayo ni very local na ni muda kidogo lakini kwa experience yangu mara kadhaa tulikua tunaletewa mtu wa mazoezi ya viungo tukiwa camp kwa maandalizi.
Leo hii unataka kuanza kutujaza Poch huwa anawapangia koni wachezaji kuwapigisha tizi kina Caicedo wale watu wa bench kazi yao ni nini? Poch kazi yake kusimamia mazoezi kwa kushirikiana na watu wake wa viungo pamoja na makocha wengine wa makipa n.k It all about proffessionalism kama isingekua ivyo tusingekua tunaona kundi kubwa la watu kwenye mabench ya makocha.
Mkuu hebu kubali kuufungua ubongo wako. I believe you are smart than this bro
Kocha anawapa mazoezi yasiyokuwa rafiki na misuli yao japo idara ya afya nayo imeshindwa kazi. Wao ni sehemu ya technical team ya kumshauri kocha juu ya afya za wachezaji lakini naona hawafanyi kazi yao ipasavyo.
Ndugu nimesoma comment yako yote japo nadhani hukunielewa. Mimi nimezungumzia kocha wa viungo nje ya medical team ambao ni madaktari sasa. Huyu kocha wa viungo ndio anashauri mazoezi gani yafanyike kabla ya kuanza mazoezi (warmup exercizes before official exercize) aidha kukimbia, stretching n.k sawa na wakati wa mechi yale mazoezi sio maelekezo ya Poch ni ya huyu kocha wa viungo ndio kazi yake.Halafu sijui kwa nini ulijibu hivi, hii inaonyesha husomi coments za wenzako yote. Nime-mention hadi idara ya medical ila wewe umechukua tu ile ya kumtetea Pochettino, inaonyesha jinsi ulivyomfia huyu jamaa wenu Poche.
Ndugu nimesoma comment yako yote japo nadhani hukunielewa. Mimi nimezungumzia kocha wa viungo nje ya medical team ambao ni madaktari sasa. Huyu kocha wa viungo ndio anashauri mazoezi gani yafanyike kabla ya kuanza mazoezi (warmup exercizes before official exercize) aidha kukimbia, stretching n.k sawa na wakati wa mechi yale mazoezi sio maelekezo ya Poch ni ya huyu kocha wa viungo ndio kazi yake.
Sasa ambacho mimi ninakikataa ni unaposema haya yote ni maelekezo ya Poch na wakati yeye ni msimamizi tu japo haimaanishi hajui mazoezi ya kuwapa wachezaji.
Wewe nadhani umefocus kwa wanaorudi kutoka injuries, mimi nilifocus general treatment ya wachezaji hadi wanaingia kwenye injuries. Kocha na Watu wa medical wanatakiwa kufanya kazi kwa pamoaj kuhakikisha wale wazima hawaingii kwenye majeruhi yasiyotakiwa na pia wale wanaorudi wanarudishwa kwenye fitness kwa utaratibu sahihi wa kitabibu. So kocha atahusika na watu wa medical, hakuna wa kukwepaNdugu nimesoma comment yako yote japo nadhani hukunielewa. Mimi nimezungumzia kocha wa viungo nje ya medical team ambao ni madaktari sasa. Huyu kocha wa viungo ndio anashauri mazoezi gani yafanyike kabla ya kuanza mazoezi (warmup exercizes before official exercize) aidha kukimbia, stretching n.k sawa na wakati wa mechi yale mazoezi sio maelekezo ya Poch ni ya huyu kocha wa viungo ndio kazi yake.
Sasa ambacho mimi ninakikataa ni unaposema haya yote ni maelekezo ya Poch na wakati yeye ni msimamizi tu japo haimaanishi hajui mazoezi ya kuwapa wachezaji.
Chelsea wanakabiliwa na adhabu ikiwa ni pamoja na kukatwa pointi au kufukuzwa katika Ligi Kuu ya Uingereza iwapo watapatikana na hatia ya kukiuka sheria za matumizi chini ya umiliki wa Abramovich.Chelsea wako karibu kupewa adhabu ‘kali’ ya Ligi Kuu ya England.
Tukipokonywa point 15 tunakuwa wapi kwenye table wandugu
Sasa tuna 39
Tukitoa 15 baki 24