Hata tusajili experience ila kocha akiendelea kuwa Poch ni kazi bure
Jamaa kasema hapo pia kocha ni wa kubadilishwa, halafu huyo tom kwenye twitter ni mmojawapo wa waliokuwa wanamtetea sana Poche apewe muda na sasa anakiri kocha ni wa kubadilishwa. Ndio maana nikapost hapa kwasababu humu bado kuna watu wanaamini kocha mzuri wachezaji ndio matakatakaHata tusajili experience ila kocha akiendelea kuwa Poch ni kazi bure
Ambacho hutaki kukubali ni kwmba Arteta is far ahead than ur coach...Arteta hii ndo timu yake ya kwanza ku manage kama head coach...Pochettino ni timu yake ya nne tangu nimeanza kumjua ila huoni improvement yake...halafu kingine ambacho hutaki kuamini for 2 consecutive seasons Arsenal imekuwa Bora kuliko timu yenu...na Ili uchukue kombe inabidi kwanza uwe unatoa ushindani kitu ambacho Arsenal wameshaanza kukionesha....Sasa huku kubweka kwako inaonesha una hasira na hutaki kukubaliana na Hali halisi....walau Lembu ni mtu anayeongea facts muda mwingi ingawa huwa napenda kumzingua🤠🤠🤠...ila jamaa anaongea madini tupu...Kwa hiyo mnaamini Pep afungiki siyo? Ukimfunga tu ni bahati!!
Na msimu huo huyo City alifungwa fa,epl na uefa,bahati ya namna gani hiyoLabda unifahamishe unahis tulimfunga man city kw bahati, lile goli lilikuja tu lenyewe? Vp city walishindwaje kurudsha na kuongoza wao? na goli lilifungwa mapema tu. bahati hapo inatoka wapi?
TT alisoma madhaifu ya Pep akayafanyia kazi, ndio mana tuliwafunga ila siyo bahati.
Umeongea as if hujui mpira mkuuuQ
Ambacho hutaki kukubali ni kwmba Arteta is far ahead than ur coach...Arteta hii ndo timu yake ya kwanza ku manage kama head coach...Pochettino ni timu yake ya nne tangu nimeanza kumjua ila huoni improvement yake...halafu kingine ambacho hutaki kuamini for 2 consecutive seasons Arsenal imekuwa Bora kuliko timu yenu...na Ili uchukue kombe inabidi kwanza uwe unatoa ushindani kitu ambacho Arsenal wameshaanza kukionesha....Sasa huku kubweka kwako inaonesha una hasira na hutaki kukubaliana na Hali halisi....walau Lembu ni mtu anayeongea facts muda mwingi ingawa huwa napenda kumzingua[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...ila jamaa anaongea madini tupu...
Nikiona mtu anasema poch ni bora kuliko arteta nabaki namcheka😂😂😂Q
Ambacho hutaki kukubali ni kwmba Arteta is far ahead than ur coach...Arteta hii ndo timu yake ya kwanza ku manage kama head coach...Pochettino ni timu yake ya nne tangu nimeanza kumjua ila huoni improvement yake...halafu kingine ambacho hutaki kuamini for 2 consecutive seasons Arsenal imekuwa Bora kuliko timu yenu...na Ili uchukue kombe inabidi kwanza uwe unatoa ushindani kitu ambacho Arsenal wameshaanza kukionesha....Sasa huku kubweka kwako inaonesha una hasira na hutaki kukubaliana na Hali halisi....walau Lembu ni mtu anayeongea facts muda mwingi ingawa huwa napenda kumzingua🤠🤠🤠...ila jamaa anaongea madini tupu...
Ni swala la mda tu wote wataimba wimbo mmojaJamaa kasema hapo pia kocha ni wa kubadilishwa, halafu huyo tom kwenye twitter ni mmojawapo wa waliokuwa wanamtetea sana Poche apewe muda na sasa anakiri kocha ni wa kubadilishwa. Ndio maana nikapost hapa kwasababu humu bado kuna watu wanaamini kocha mzuri wachezaji ndio matakataka
Kipi katika hyo comment yangu kinaachonesha nimeongea kama sijui Bolu...hebu fafanua....sio unaongea pasi na ushahidi🤠🤠...ww na Mkohoti ni walewale...mpo kwny denial hamtaki kukubaliana na ukweliUmeongea as if hujui mpira mkuuu
Ww una akili ya mpira🤠🤠..pale EPL ambao wamemzidi Arteta au kwenda naye on par mpk Sasa ni makocha wawili tu....Kipara Pep na Klopp...Hawa wengine wapo wanao challenge kama yule kocha wa Spurs labda...ila wengine kiukweli bado Wana safari ndefu sana including Mr Pochettino 🤠🤠🤠Nikiona mtu anasema poch ni bora kuliko arteta nabaki namcheka😂😂😂
Arteta ashamzid yule bwana mashavu pakubwa sana.
Kuna mashabiki humu wanatanguliza ushabiki mbele katika mambo ya uhalisia
Asenyetoz labda wabebe mimba na vibuyu ila sio kombe la hadhi kama UefaHawezi kubeba, kama kubeba labda kubeba mimba.
Hawa Kenge washaanza kujiita mabingwa wa uefa ,pimbi saba hawa , ushindi wenyewe wa papatu papatu kwa penalty dhidi ya PortoHawezi kubeba, kama kubeba labda kubeba mimba.
Sawa Arteta ndio timu yake ya kwanza, ila ana misimu mingapi mpk sasa hakuna alichokifanya? Kwa hiyo atajificha kwnye hicho kichaka cha ndio timu yake ya kwanza mpk misimu ifike mingapi?Q
Ambacho hutaki kukubali ni kwmba Arteta is far ahead than ur coach...Arteta hii ndo timu yake ya kwanza ku manage kama head coach...Pochettino ni timu yake ya nne tangu nimeanza kumjua ila huoni improvement yake...halafu kingine ambacho hutaki kuamini for 2 consecutive seasons Arsenal imekuwa Bora kuliko timu yenu...na Ili uchukue kombe inabidi kwanza uwe unatoa ushindani kitu ambacho Arsenal wameshaanza kukionesha....Sasa huku kubweka kwako inaonesha una hasira na hutaki kukubaliana na Hali halisi....walau Lembu ni mtu anayeongea facts muda mwingi ingawa huwa napenda kumzingua🤠🤠🤠...ila jamaa anaongea madini tupu...
Sawa Arteta ndio timu yake ya kwanza, ila ana misimu mingapi mpk sasa hakuna alichokifanya? Kwa hiyo atajificha kwnye hicho kichaka cha ndio timu yake ya kwanza mpk misimu ifike mingapi?
Arteta ni mbabaishaji tu kama mwenzie pochi mashavu, utofuti Arteta anawapa hope ila hamna kitu mule.

Mkuu zihurumie hizo ng'ombe hiyo dozi uliyowapa ni kubwa watadhalilika, tuwape Dortmund tu watolewe bila kudhalilishwa.Hawa Kenge washaanza kujiita mabingwa wa uefa ,pimbi saba hawa , ushindi wenyewe wa papatu papatu kwa penalty dhidi ya Porto
Naomba wakutane uso kwa uso na akina vinicius na Bellingham
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Una personal issues, cool down son. Haya tuambie shida nini mbona unafoka?Hawa Kenge washaanza kujiita mabingwa wa uefa ,pimbi saba hawa , ushindi wenyewe wa papatu papatu kwa penalty dhidi ya Porto
Naomba wakutane uso kwa uso na akina vinicius na Bellingham
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
hizo kondoo uwezo wakubeba hawana. Tupo hapa mkuu nitakukumbusha hili.Aser8 akibeba UEFA sijui mtaweka wapi sura zenu.