Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahah leo hamna cha hazard wala indicator mourinho kawekwa kapuni na mbinu zake za hovyo eti anamuweka ramires na. Kumi.
 
Na Mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
City kifua mbele/.....Chelsick OUTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT
 
atarudi kesho asubuhi akishapoa machungu..



Mi niko hapa Mkuu!

Nilichoona Jose hajaweka umuhimu sn ktk hii game!

Kwasababu ile ya EPL wachezaji walijituma sn tofauti na hii ya Leo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…