Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dah BlueCo wamecheza rafu sana kwenye usajili wa wachezaji.

Tunatakiwa tuuze wachezaji wengi kikosi kibaki na wachezaji wachache manageable.

Usajili ufanyike kimkakati na sio kujaza lundo la wachezaji tena
Mkuu naona wewe bado unahisi shida ni wachezaji

Wachezaji wako vizuri tu ni mda tu utaongea
 
Mkuu naona wewe bado unahisi shida ni wachezaji

Wachezaji wako vizuri tu ni mda tu utaongea
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna baadhi ya wachezaji wamekosa tu mwalim wa kuwaguide vizuri
🀣🀣🀣
Huyu galagher lait angejaliwa kuwa na akili kwenye miguu za kuuchezea mpira. Angekuwa mzuri sana

Kuna muda unamuona kabisa anakosa ufundi kwenye mguu
Najua lugha tunayoongea ni moja ila inapindishwa tu maana. Kidogo kidogo tunaelewana

BTW hongereni wote kwa ushindi japo hatuja hama nafasi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…