Matokeo gani??Kocha apewe muda, msimu huu usihesabike bure, huwezi kubadilisha timu nzima.afu ukategemea matokeo.
Tunahitaji wachezaji wazoefu kwenye LB na Striker tuPoche na wachezaji waliopo ni pipa na mfuniko.
Sitashangaa kocha mpya akasajili wachezaji wapya sio chini ya 5 kuboresha kikosi.
Mjadala ulilenga wapi, ninyi mkishindwa mada mnatafuta mchepukoBaada ya kutupia mlishinda ngapi ile mechi ndugu zetuπ€ π€ π€ ...ndo uone kama nyny ni wafanya Fujo sio wacheza bolu
Tayari mkuu tumeingizwa kwenye mtego na tumenasa kabisa, ushauri mzuri kwa sasa ni jinsi gani ya kuwa na kocha atakayeweka kasi ya kurudi tulipopotelea ili tuanze kubeba makombe na speed kubwa ni miaka miwili au mitatuHatutaki project uchwara na kitapeli ya wachezaji wadogo, hatutaki kocha mdogo De Zerbi, hatutaki kukuza vipaji na kuuza kwa faida.
Tunataka wachezaji mutured word class, tunataka kocha mkubwa, tunataka makombe.
Over Β£1B transfer expenditure tunasajili ujinga ujinga tuu, tuachane na huo upuuzi wa project ya kindergarten, turudi kwenye misingi ya kibingwa.
Huyu kocha sio wa kupewa muda, angekuwa ni Abramovich angeshamfukuza kitambo na saa hii Chelsea ingekuwa inaranda mitaa ya Westham au Man UnitedKocha apewe muda, msimu huu usihesabike bure, huwezi kubadilisha timu nzima.afu ukategemea matokeo.
No, taarifa za ndani kwamba Poche asipoweza kuingiza timu kwenye mashiundano yeyote ya Ulaya kupitia EPL au FA kibarua chake kitakuwa hati hati July 2024Tulia kijana wangu TODDY atakuua kwa presha, probability ya Poche kubaki msimu mwingine ni kubwa kuliko kuletwa kocha mpya.
Mjadala ni kwmba hyo dogo alitufunga tunaambiwa goli la kideo...na mm ndo nimeuliza iliwapa mlichokitaka??Mjadala ulilenga wapi, ninyi mkishindwa mada mnatafuta mchepuko
Ni kweli mkuu unavyosema ila hilo lengo alilopewa Poche ni la kinafiki kwa sababu mistakes zimefanyika nyingi sana kwenye kuunda/kutengeneza timu mpya. Mistakes za kisera, kifalsafa, kiuongozi, kisajili.No, taarifa za ndani kwamba Poche asipoweza kuingiza timu kwenye mashiundano yeyote ya Ulaya kupitia EPL au FA kibarua chake kitakuwa hati hati July 2024
Ashike nafasi ya 7 au ashinde FA ndio itakayomponya
Kwa umri wake na kwa uchezaji wake amezidi malengo ya mchezaji binafsi, hata tukiingia sokoni tuna uhakika Winga wa kulia haitajiki. Hayo unayoleta wewe ni malengo ya team nzima ambay bado inajengwa kwa udongo badala ya zegeMjadala ni kwmba hyo dogo alitufunga tunaambiwa goli la kideo...na mm ndo nimeuliza iliwapa mlichokitaka??
Una uhakika na unachokisema mkuu...anachoki deliver sicho hiki alichotakiwa kukitoa....kwa maoni yangu kwny 100 labda katoa 20...na ukiangalia price tag imemuelemea...angalieni msiwe mkawa mnafuga Kai Havertz mengine wa Chelsea kwny timu yenu....maana hyu wa Arsenal ni tofauti kabisa na yule alokuwa kwenu.... Chelsea sio timu ya kulea na kukuza vipaji...ni timu ambayo unataka mtu a delive hapohapo kitu ambacho sioni akikitoa hyo mfukuza upepo kwa mazingira ya klabu yenu...angalieni msije mkamuuza kwa hasara ndugu zetuKwa umri wake na kwa uchezaji wake amezidi malengo ya mchezaji binafsi, hata tukiingia sokoni tuna uhakika Winga wa kulia haitajiki. Hayo unayoleta wewe ni malengo ya team nzima ambay bado inajengwa kwa udongo badala ya zege
Unakoroga sana mada, a ndio maana niliuliza kirafiki una mrate kwa vigezo vipiUna uhakika na unachokisema mkuu...anachoki deliver sicho hiki alichotakiwa kukitoa....kwa maoni yangu kwny 100 labda katoa 20...na ukiangalia price tag imemuelemea...angalieni msiwe mkawa mnafuga Kai Havertz mengine wa Chelsea kwny timu yenu....maana hyu wa Arsenal ni tofauti kabisa na yule alokuwa kwenu.... Chelsea sio timu ya kulea na kukuza vipaji...ni timu ambayo unataka mtu a delive hapohapo kitu ambacho sioni akikitoa hyo mfukuza upepo kwa mazingira ya klabu yenu...angalieni msije mkamuuza kwa hasara ndugu zetu
Sidahni kama Poche ataendelea kuwepo msimu ujao kama matokeo na mwendo ni wa gari moshi la zamani kama hivi, SIDHANI. Chelsea inatakiwa msimu ujao ipige hatua kubwa ili kuokoa mambo mengi ikiwepo panga la FFP. Matajiri wanalijua hilo na watafanya juu chini ili makosa hayo yarekebishweNi kweli mkuu unavyosema ila hilo lengo alilopewa Poche ni la kinafiki kwa sababu mistakes zimefanyika nyingi sana kwenye kuunda/kutengeneza timu mpya. Mistakes za kisera, kifalsafa, kiuongozi, kisajili.
Ndio maana wameshindwa kumfukuza Poche pamoja nakuingiza timu gerezani kifungo cha nafasi ya 11. Kumfukuza Poche kwa sasa ni another mistake kwao.
Katika kitu matajiri wanaomba Mungu ni Poche aitoe timu gerezani kifungo cha nafasi ya 11 kupanda nafasi za juu ili kujustify maamuzi yao kiutendaji, kifalsafa, kimaono yalikuwa sahihi katika kujenga timu.
Na kweli Poche akimaliza nafasi za juu juu hatafukuzwa bali matajiri watajikita zaidi kwenye kufanya maamuzi sahihi kwa sajili za wachezaji (kuuza, mkopo na kununua).
Best player wenu wa msimu jana was kai, top scorer was kai,,Panga pangua Kai alikua starter apo darajani..Unakoroga sana mada, a ndio maana niliuliza kirafiki una mrate kwa vigezo vipi
Chelsea tayari hatuna makocha wazuri tangu Conte
Hatuwezi kujua vipaji halisi ya wachezaji kwa sababu ya makocha wabovu
Ila hata na hivyo huyo Havertz siyo world class kwa sababu huku Chelsea angeonyesha hata akiwa chini ya makocha wabovu. HUyo anasukumwa na kutukanwa na Arteta. Akija kocha mwingine mtamchukia. Mimi napenda mchezaji kama Palmer anayecheza vizuri wakati timu imeoza na haina kocha mzuri. Mengine kwenye maoni yako ni pura jelousy ambayo itakuharibu wewe mwenyewe
Sawa Mkuu wacha tusubiri miujizaSidahni kama Poche ataendelea kuwepo msimu ujao kama matokeo na mwendo ni wa gari moshi la zamani kama hivi, SIDHANI. Chelsea inatakiwa msimu ujao ipige hatua kubwa ili kuokoa mambo mengi ikiwepo panga la FFP. Matajiri wanalijua hilo na watafanya juu chini ili makosa hayo yarekebishwe
Tunashindwa kuelewana padogo tu...angalia trend ya asilimia kubwa ya makocha wenu wte walowahi kupita hapo...ilikuwa ni nadra sana kuamini raw talents like Mudryk...anzia kwa Salah..De Bruyne na wengine ambao walikuja kuwa wachezaji wazuri baadae....na hili sio kosa la makocha Bali ninaweza sema ni mfumo wa klabu kwmba ukichukuliwa ni hapohapo inabidi u delive...Sasa kwa hyu kijana asipokuwa na mentor mzuri mtakuja kabisa kipaji chake kama mlivyotaka kuua cha Kai...leo Kai anacheza kwa confidence kubwa unataka kunambia kuna nn kimezidi kwake zaidi ya kuwa na Mwalimu anayemjenga kisaikolojia....narudia tena msipokuwa makini Mudryk mtakuwa mmetupa helaUnakoroga sana mada, a ndio maana niliuliza kirafiki una mrate kwa vigezo vipi
Chelsea tayari hatuna makocha wazuri tangu Conte
Hatuwezi kujua vipaji halisi ya wachezaji kwa sababu ya makocha wabovu
Ila hata na hivyo huyo Havertz siyo world class kwa sababu huku Chelsea angeonyesha hata akiwa chini ya makocha wabovu. HUyo anasukumwa na kutukanwa na Arteta. Akija kocha mwingine mtamchukia. Mimi napenda mchezaji kama Palmer anayecheza vizuri wakati timu imeoza na haina kocha mzuri. Mengine kwenye maoni yako ni pura jelousy ambayo itakuharibu wewe mwenyewe
Roman naye hakutaka kuchelewesha na vipaji vya akina Salah na Kelvin. Alitaka matokeo makubwa sasa so na makocha hawakuwa na amkosa kwa sababu ndio falsafa ya wakati huoTunashindwa kuelewana padogo tu...angalia trend ya asilimia kubwa ya makocha wenu wte walowahi kupita hapo...ilikuwa ni nadra sana kuamini raw talents like Mudryk...anzia kwa Salah..De Bruyne na wengine ambao walikuja kuwa wachezaji wazuri baadae....na hili sio kosa la makocha Bali ninaweza sema ni mfumo wa klabu kwmba ukichukuliwa ni hapohapo inabidi u delive...Sasa kwa hyu kijana asipokuwa na mentor mzuri mtakuja kabisa kipaji chake kama mlivyotaka kuua cha Kai...leo Kai anacheza kwa confidence kubwa unataka kunambia kuna nn kimezidi kwake zaidi ya kuwa na Mwalimu anayemjenga kisaikolojia....narudia tena msipokuwa makini Mudryk mtakuwa mmetupa hela
Soma hiyo makala yoteTODDY amebakiza miaka 3 ya kutusajilia kindergarten players na makocha vilaza. View attachment 2930533
kwa taarifa yako founders wa Clearlake ni Eghbal,Feleciano na steven ChangNa Beghdad na Feleciano wana share kidogo Clearlake capital fund, kiufupi waliukopa mfuko.
Katika ununuzi wa timu Toddy ndio ametoa pesa nyingi binafsi kwenye ununuzi wa timu, wengine walikopa kopa kwenye vyanzo mbalimbali
View attachment 2930623