Jackson ninachomuona anazidi kujenga kujiamnini ambacho ndicho kilichokosekanaHata Jackson naona anaanza kuimprove mdogomdogo
EnheKabla ya goli Brentford walionekana na akili kushinda Chelsea ila baada ya kufungwa wanaonekana kutojiamini, Naomba Poche atumie fursa hiyo kuongeza mashambulizi na goli
Katika mechi 12 Brentfors wamepoteza 15 wamefungwa 12 na kushinda 3 hakuna droo
Ndiyo ndiyoJackson ninachomuona anazidi kujenga kujiamnini ambacho ndicho kilichokosekana