Na mradi wetu unaogopwa zaidi kuliko hizo zingine, Kocha ajaye kama Pochettino ataachishwa kazi msimu wa kiangazi atakuwa na changamoto sana kwenye hii klabu kwa sababu ya wachezaji wengi wachanga, pili demand ya fanbase ya Chelsea ni kubwa na yenye kumuweka kwenye wakati mgumu kila kocha atakayejaribu kuchukua hii kandarasi ya kuirudisha meli iliyozama mahali pakeTunaweza kuwa tunawakat mgumu kumpata kocha ajaye maana vilabu vingi vikubwa nao wanataka kocha.
Liverpool
Bayern
Barcelona
Tunakaz kubwa sana kumshawishi kocha ajae kama tukimtimua yule Tapeli wa Argentina
Hii sala yako ya Bwana asubuhi mchana na jioni imekosewa sana[emoji117] TODDY - Chelsea fc ni Project UCHWARA na KITAPELI.
1. Wakurugenzi wa ovyo
2. Kocha kilaza
3. Wachezaji mazagazaga
"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
Sawa tupo hapaHii sala yako ya Bwana asubuhi mchana na jioni imekosewa sana
Wachezaji waliopo ni wazuri sana, tunza haya maoni uje baada ya kocha kubadilishwa na akaletwa anayewajulia hao vijana
Hans Flick yupo free , why tuzimchukue yule tactician ?Tunaweza kuwa tunawakat mgumu kumpata kocha ajaye maana vilabu vingi vikubwa nao wanataka kocha.
Liverpool
Bayern
Barcelona
Tunakaz kubwa sana kumshawishi kocha ajae kama tukimtimua yule Tapeli wa Argentina
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hio timu yenu sio kila kocha atafaa, tafuteni kocha yoyote mwenye rasta mtakuja kunishukuru baadae.Hans Flick yupo free , why tuzimchukue yule tactician ?
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Hahahaha[emoji3] umenichekesha sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hio timu yenu sio kila kocha atafaa, tafuteni kocha yoyote mwenye rasta mtakuja kunishukuru baadae.
Mkimpata kocha wa Cameron Rigobert Song matatizo yenu yote mtakuwa mmemaliza, timu imejaa marastafarians halafu mnaleta kocha anaekula nyama halafu hajawahi kuvuta hata banghe hio ni akili au matope? View attachment 2919028
kocha mzuri anapimwa akiwa Chelsea sio vinginevyoHans Flick yupo free , why tuzimchukue yule tactician ?
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Hahahaha Roman Abramovich aliwapimaje makocha wazuri nje ya THE BLUES kabla ya kuwapa mkataba?kocha mzuri anapimwa akiwa Chelsea sio vinginevyo
hakuwapima nje ndio maana timua timua ilikuwa ni desturi yetuHahahaha Roman Abramovich aliwapimaje makocha wazuri nje ya THE BLUES kabla ya kuwapa mkataba?
Tetes zinasema huenda akaenda Barce maana sasa hiv anajifunza kispanyola.Hans Flick yupo free , why tuzimchukue yule tactician ?
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app