nikushauri tu acha ulevi wa pombe zisizopimwa. Utakuja kunishukuru badae.No offense, but you have an average thinking mind.
Nadhani hujatafakari kabla ya kuandika hii comment yako. Sarri wakati anakuja Chelsea alikua hajashinda kombe lolote akiwa kocha. Lakini silaha yake kumbwa ilikua kina Hazard, Kante, Jorginho n.khizi ni akili za kipuuzi jamaa yangu, huyu poch alishawahi kushinda kombe lolote la maana huko alikokuwa??? jana angekuwepo kocha yeyote mwenye kombe lolote tungeshinda jana, hamna kocha hapa.
Huyo mnywa ulanzi atakusumbua akili.hizi ni akili za kipuuzi jamaa yangu, huyu poch alishawahi kushinda kombe lolote la maana huko alikokuwa??? jana angekuwepo kocha yeyote mwenye kombe lolote tungeshinda jana, hamna kocha hapa.
[emoji1787][emoji1787]Daah. Yaani unawajia huku kwa kupaka chumvi vidonda?
Mtu anakuibia 50,000/- ukikasirika anakuambia "kwanza hela gani hii hata chai na chapati vingunguti hupati'Kwanza mnalialia nini kombe lenyewe la mbuzi sisi tumeshinda jana usiku huo huo tukasahu
Hujaelewa kaka, inshu sio kukosa hako kakikombe ka kahawa. Kinachouma tumefungwa na vitoto vy kindagaten.Kwanza mnalialia nini kombe lenyewe la mbuzi sisi tumeshinda jana usiku huo huo tukasahu
Huyu mchele mpk anastaafu hatobeba kombe lolote la maana.Kaisedo anakaba, Enzo anachezesha timu
Wameishia kua wapiga nyeto tu 😂😂😂
Enzo akiweza kuruka hivi akishuka chini kama hajavunja kiuno basi mgongo umekatika pingiri zake
View attachment 2917485
Kama ningekuwa Pochettino sitawahi kucheka au kuwalinda wachezaji wanaokosa nafasi za rahisi kama hizi. Nitawakemea tu na kuwaacha benchi kwa baadhi ya michezo nyingi tu ili wajifunzeKocha gani anayefundisha wachezaji wakifika golini wapige visigino? Tumetengeza clear chances ngap na bado tukashindwa kuzitumia?
Hebu tuache haya mambo ya kukumbatia wachezaji tuseme tu jana wametufelisha wao kwa asilimia kubwa.
Hata hizo chances walizokosa, baadaye akikutana nao anawachekea chekea na kuwalinda, Stupid kocha. PEP na Arteta vitu kama hizo anawatukana kabisa wachezaji huwezi kusikia sehemu akiwatetea au kuwalinda wajinga kama haoUnataka kusema wachezaj ndio walioamua kucheza vile kwenye extratime??????
Wachezaj wanaweza kuwa na makosa yao kwq chance tulizopata ila mentality ya kocha kwenye Extratime ilikuwa awful.
Mashabiki wote wa mediocre team wanakuwa na mentality kama hizi za kumtetea kocha hata kama hafai ni mbovuKama unahisi Poch ni right coach, Good for You.
Poch hata akae misim 5 hapa hatoshinda kombe lolote lile kwa mbinu zake.
Squad tulio nayo na Poch ni vitu viwili tofauti hawaendani hata akae misim 5 ni yale yale
Hakuna hata mchezaji hata mmoja atakaedevelop mbele ya Poch
Hili kombe lingewafaa wale watoto wetu kwenye kujenga mentality zaidi ya LiverpoolKwanza mnalialia nini kombe lenyewe la mbuzi sisi tumeshinda jana usiku huo huo tukasahu
Usiende mbali, angekuwa Mou ile game jana kwa namna yeyote asingekubali kushindwahizi ni akili za kipuuzi jamaa yangu, huyu poch alishawahi kushinda kombe lolote la maana huko alikokuwa??? jana angekuwepo kocha yeyote mwenye kombe lolote tungeshinda jana, hamna kocha hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]A coacher who lost league one with Messi, Mbape, Neymar, Verati ndio mmemchukua ili aje awapatie makombe na kina Kukulea na Wacko Jacko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji117] Chelsea fc ya TODDY ni Project UCHWARA na KITAPELI.
Huwa network inakata kichwani kwako halafu inarudi...Mudryk mtu sana yule🤠🤠🤠...jipangeni msimu ujao wachezaji watakuwa wameshazoeana na mtaanza ku click....shida yenu mmezoea vya harakaharaka ambavyo kwa Sasa ni vigumu kuvipata....hyo Era imeshapitaHujaelewa kaka, inshu sio kukosa hako kakikombe ka kahawa. Kinachouma tumefungwa na vitoto vy kindagaten.
Kosi la bilion 1000 likapak basi dhidi ya vitoto ili kungoja matuta. Nyie nyie kuna makocha ni wehu.
Sawq mkuu watu sio kwamba tunaharaka bali ni ile improvement difference ya msim uliopita na huu ni ipi???Huwa network inakata kichwani kwako halafu inarudi...Mudryk mtu sana yule🤠🤠🤠...jipangeni msimu ujao wachezaji watakuwa wameshazoeana na mtaanza ku click....shida yenu mmezoea vya harakaharaka ambavyo kwa Sasa ni vigumu kuvipata....hyo Era imeshapita