Kweli kabisa Ntuzu; sisi kwetu droo ni kama kufungwa hata majirani wanajua. Maana yake timu iko sawa; sisi hatufungwi na wakubwa; kuhusu kuwabania 'wakubwa' ni sawa kwa sababu ili uwe bingwa lazima uwafunge wakubwe wenzako.
:smile-big:
JT akiruka na mtu kugombania mpira wa kichwa basi tegemea atakua wa kwanza kuupata, Luiz alikua anamsindikiza tu Anichebe na kosa kubwa ni la kocha, kumuacha Gaz aendelee na mechi wakati kaumia
Poleni ....nafasi yenu kwa mudaNaona unaleta zereu?
Wewe ni mgeni Wa kauli za Mourinho!
Ubingwa upo kwa chelsea msimu huu!
Kama hujui meneja anacheza nafasi gani team yake ikiwa uwanjani then log off, kojoa ukalale
Ubingwa utakuwepo kama team itakua haipotezi points dhidi ya team kama West Brom.
Tena kimya kibayaaaaa!
CFC, kiboko yao; sasa tutaongoza hadi wachukie; ile mechi ya tarehe 22 ; CFC vs Everton tutachukua pointi zote tatu; Chelsea ya sasa inacheza vizuri sana inapocheza na wanaogombea ubingwa;
tutachukua ubingwa bado mechi 12 tu.:coffee:
CHELSEA FC bingwa
England mwaka huu. Nadhani Mourinho anaweza kuwapa taji la UEFA kwa mara
nyingine. Ni suala la muda tu, tusubiri tuone.
CHELSEA FC bingwa England mwaka huu. Nadhani Mourinho anaweza kuwapa taji la UEFA kwa mara nyingine. Ni suala la muda tu, tusubiri tuone.
Uefa championships league? Oh Noooooooooooo please
Kwa nini hapana?
Kwa nini hapana?