Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,061
- 27,474
Mkuu nitake radhi. Mimi nimeongea vitu vinavyofanyika wewe unaongea theories yan vitu ambavyo bado havijatokea. Nimetolea mfano wa Spurs sijui umeipotezea wapi hiyo mada.Usifananishe kihivyo mkuu, Serie A na EPL tofauti. Mwenzako katoa mfano wa Spurs ambayo inacheza EPL. Na hata kule Serie A, pulisic ni yule yule wa mabao 6 hadi 8. kwa vile ligi dhaifu anaweza akajitahisi akafikisha goli 10 kwa msimu. Sasa hapo kaongeza nini?
Mnapoteza muda tu na huyo jamaa. Kwa kuangalia tu comment zake utajua unapoteza muda wako kuargue nae.Wachezaji wapi Mizigo,
Wezentu wakati wana fanya usajili sisi the blues tulikuwa sokoni tunanunua mazagazaga.[emoji1787][emoji1787]Club kubwa kama THE BLUES ni kituko sana kujenga timu kwa wachezaji kindergarten.
TODDY alichemsha sana kwenye hili, kubeba ubingwa EPL timu inahitaji kuwa na matured experience players mix na kindergarten wasiozidi 2 ambao ni sub
Kuwa na hawa kindergarten players wengi THE BLUES itaishia kuwa kama Brighton kusindikiza wanaume kwenye ubingwa kila msimu.
Poche hafundishi mpira wowote wa kisayansi, acheni kumremba kihivyo. tulishasema Pulisic hakuongeza chochote kule serial a,m kaenda tu kwenye ligi anayoiwezeaNDugu acha kukariri mpira. Mpira ni science lazima ufuate taratibu kufikia lengo fulani. Huyu Pulisic aliyekua anatoka anachechemea kila baada ya mechi 3 leo hii ni mchezaji tegemeo kule Milan ndani ya nusu msimu keshachangia magoli ambayo kwa huku Chelsea alikua anachangia msimu mzima. Ruben Loftus Cheek kila mechi anaanza kule. Kwanini huku majeruhi ni walewale kila msimu. James, Chilwell, Fofana na ni majeruhi wanakaa muda mrefu.
Hili hambo huwezi lipuuzia kwa sababu hawa ni watumishi kwa hiyo ni expenses kwa timu
Hata niongee hadi kesho hutanielewa kwa sababu tuna opinion na perspectives tofauti kabisa kumhusu kocha na ukochaMkuu nitake radhi. Mimi nimeongea vitu vinavyofanyika wewe unaongea theories yan vitu ambavyo bado havijatokea. Nimetolea mfano wa Spurs sijui umeipotezea wapi hiyo mada.
Hakuna sehemu namremba Poch na sina sababu hiyo. Anaangushiwa lawama sasaivi na ndiye atakayekuja kufukuzwa ila nyuma kuna uzembe mkubwa wa viongozi, period
Ndio mana wanafukuzwa makocha hawafukuzwi wachezaji.Hata niongee hadi kesho hutanielewa kwa sababu tuna opinion na perspectives tofauti kabisa kumhusu kocha na ukocha
Kocha ni kama kepteni wa meli. Meli ikipata shida huwezi kwenda kuwalaumu abiria au wasaidizi, that is a rule
Wewe si ndio ulikuwa unamsifia Poche kupewa timu [emoji23]
NDugu acha kukariri mpira. Mpira ni science lazima ufuate taratibu kufikia lengo fulani. Huyu Pulisic aliyekua anatoka anachechemea kila baada ya mechi 3 leo hii ni mchezaji tegemeo kule Milan ndani ya nusu msimu keshachangia magoli ambayo kwa huku Chelsea alikua anachangia msimu mzima. Ruben Loftus Cheek kila mechi anaanza kule. Kwanini huku majeruhi ni walewale kila msimu. James, Chilwell, Fofana na ni majeruhi wanakaa muda mrefu.
Hili hambo huwezi lipuuzia kwa sababu hawa ni watumishi kwa hiyo ni expenses kwa timu
🤣🤣 mkuu naona tutakua na mjadala mrefu ambao sioni mwisho wake. Ukisema ligi kwan huko Seria A hawachezi mpira au hawatumii sheria za FIFA au labda EPL wanachezea kwenye mbigiri? Mpira ni ule ule tu japo ki ubora wanazidiana lakini sio kufikia hatua kusema ukicheza ligi fulani hautapata injury. EPL na Seria A zimezidiana kwa nafasi 1 kama sio mbili kiubora.League mkuu, Huwez compare Seria A na Premier league
Anyway hizi hapa ni stats za Pulisic
[emoji1787][emoji1787] mkuu naona tutakua na mjadala mrefu ambao sioni mwisho wake. Ukisema ligi kwan huko Seria A hawachezi mpira au hawatumii sheria za FIFA au labda EPL wanachezea kwenye mbigiri? Mpira ni ule ule tu japo ki ubora wanazidiana lakini sio kufikia hatua kusema ukicheza ligi fulani hautapata injury. EPL na Seria A zimezidiana kwa nafasi 1 kama sio mbili kiubora.
Nadhani ulipaswa kusema hatutaelewana.Hata niongee hadi kesho hutanielewa kwa sababu tuna opinion na perspectives tofauti kabisa kumhusu kocha na ukocha
Huu mfano uliotolea ni sawa na kusema timu ifanye vibaya uanze kulaumu mashabiki. Mashabiki hawaajiri kocha, wachezaji au kuchagua wamiliki wa timu.Kocha ni kama kepteni wa meli. Meli ikipata shida huwezi kwenda kuwalaumu abiria au wasaidizi, that is a rule
Soma uelewe usiandike kutaka kuprove kitu. Nimesema kwa nini sasa hivi hapati majeraha tatizo liko wapi? Tatizo lipo kwenye club alizopita kabla.Nimekuwekea injury zake hapo sijui utasemaje tena
Wewe tu ndie unayelinganisha serie a mlenda mlenda legue na EPL ambayo ni physical league🤣🤣 mkuu naona tutakua na mjadala mrefu ambao sioni mwisho wake. Ukisema ligi kwan huko Seria A hawachezi mpira au hawatumii sheria za FIFA au labda EPL wanachezea kwenye mbigiri? Mpira ni ule ule tu japo ki ubora wanazidiana lakini sio kufikia hatua kusema ukicheza ligi fulani hautapata injury. EPL na Seria A zimezidiana kwa nafasi 1 kama sio mbili kiubora.
Mkuu wewe si ndio ulikuwa unamsifia pattern zake zitakuwa tishio EPL.