Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Poch anajua kuliko sisi woteTangu Chilwell acheze LW amekuwa akicheza hovyo tena sana. Anashambulia vizuri akicheza LB
Hakukuwa na haja ya kutumia hiyo kama kigezo wakati kwenye LW na RW tunao wengi. Chilwell ni LB mzuri kila mtu anajua hilo na kucheza LB haimzuii Chilwell kushambulia kama kawaida yake
Kwa macho ya kishabiki naweza kusema sio sawa. Ila wenye macho ya coaching(proffessionals) na hata kwa ku crate simple logics kama navyofanya mimi(average knowledge) unaweza jua intention yake inakua ni nini hasa kulingana na mazingira na mahitaji ya game husika.
So kwangu mimi naweza laumu pengine labda kwa sababu kilichofanyika hakijaleta matokeo chanya.
SIjakataa unachosema. Ninachomaanisha kwenu Poch ni mkoseaji wakati woteMkuu makocha nao wanakosea hata kama ni proffessional raia wa huku nje tunaona kabisa kocha anakosea.
Kocha akikosea huwa inaonekana na nikama akifanya vizuri
Mkuu usijiabishe hapo, makocha sio kila jambo wanapatia, Poche hapo kaboronga kwa Chilwell kama alivyoboronga kwa Enzo mwanzoni, kajisahihisha akamrudishia Enzo roles zake sasa anacheza vizuriKwa macho ya kishabiki naweza kusema sio sawa. Ila wenye macho ya coaching(proffessionals) na hata kwa ku crate simple logics kama navyofanya mimi(average knowledge) unaweza jua intention yake inakua ni nini hasa kulingana na mazingira na mahitaji ya game husika.
So kwangu mimi naweza laumu pengine labda kwa sababu kilichofanyika hakijaleta matokeo chanya.
Naona wewe ni mtu wa imani sana, sio kila jambo inahitaji imaniPoch anajua kuliko sisi wote
Kuna mashabiki wengi8ne hadi kocha atimuliwe ndipoo waamini alikuwa anakoseaSIjakataa unachosema. Ninachomaanisha kwenu Poch ni mkoseaji wakati wote
Wewe unafuata hisia sana. Sio kila jambo jambo utangulize hisiaNaona wewe ni mtu wa imani sana, sio kila jambo inahitaji imani
NA wakati wote kocha ndio huwa anatupiwa lawama. Ila kwa sisi wenye jicho la kimpira tunaoona mbali zaidi tunasema tatizo halipo kwa kocha pekee na huo ndio umekua msimamo wangu. Usini attack mimi simamia maandishi yanguKuna mashabiki wengi8ne hadi kocha atimuliwe ndipoo waamini alikuwa anakosea
Atleast wewe unaelewa hili. Yan tuko wepesi sana kulaumu kwakua pengine haikufanikiwa ila kama lingefanikiwa tusingekua na maneo haya. Lakini coaching ni zaidi ya kile tunachokiona kwenye touchline. Naamini humu wengi wanaelewa ila tu wameamua kukaza mafuvu.Ukocha wa mdomo ni mrahisi ukiwa unaangalia mechi kwenye T.V. na kucomment Arteta this, Arteta that.
Mpira ni science, sio kwamba kumpanga mchezaji kwenye position yake na kucheza role yake ndio kushinda mechi.
Ukocha wa mdomo ni mrahisi ukiwa unaangalia mechi kwenye T.V. na kucomment Arteta this, Arteta that.
Mpira ni science, sio kwamba kumpanga mchezaji kwenye position yake na kucheza role yake ndio kushinda mechi.
Wengi tunachukulia simple haya mambo ndio maana tuko wepesi kulaumu kwa mwamvuli wa ushabiki. Eti ukiwa shabiki basi una haki ya kulaumu kivyovyote tunasahau hapo nilipo bold. Football ni zaidi ya kile tunachokiona kwenye pitch zipo factors mbalimbali lazima ziwe considered ili kupata a desired outcome, lakini watu wanaangalia upande mmoja tu. It is not fairIngekuwa hivyo vilabu visingekuwa vinaingia sokoni kuongeza lundo la wachezaji kwenye nafasi moja.
Mpira ni science una variable, factors, dimension nyingi.
Huyo Poche wenu akibahatisha ndio mtatupiga na mawe sana, ila mimi naamini Poche ni average coach ni muda tu ndio hakimu wa hili, hata tubishane sana mechi hii kaboronga mechi kapatia hadi mwisho wa ligi, msimu kwa msimu achievement inakuwa ndogo sanaAtleast wewe unaelewa hili. Yan tuko wepesi sana kulaumu kwakua pengine haikufanikiwa ila kama lingefanikiwa tusingekua na maneo haya. Lakini coaching ni zaidi ya kile tunachokiona kwenye touchline. Naamini humu wengi wanaelewa ila tu wameamua kukaza mafuvu.
Hata mimi sijui tatizoGusto ana changamoto gani?
Kama tunataka kuingia top 4 lazima mfungaji mzuri atafutwe ata kama atakaa msimu mmoja tu.
Tunahitaji atleast mwenye kutumia angalau 40% ya nafasi tunazotengeneza...siyo kama sasa.Huwez pata mfungaj bora dirisha hiliaa