Aliwahi kuchezeshwa namba 10 mkuu, tena mechi mbili au tatu au hata zaidi. Mashabiki walilalamika sana baada ya kiwango cha Enzo kushuka na ndipo kocha akamrudisha kwenye CM pivot na Caicedo lakini bado aliendelea kucheza vibaya na ndipo akaenda majeruhi yale madogo. Shida kubwa sasa ya Poche ni kulazimisha Colwill acheze LB, hiyo nafasi anakaba kweli vizuri ila colwill kwa sababu sio LB hawezi kupanda na kupeleka mashabulizi kama anavyofanya Chilwell au angefanya Maatsena hadi anaondoka sijui kama aliwahi kuichezea hiyo nafasi yake. Pochettino mtukutu anaona kabisa hakuna matokeo mazuri ya kumchezesha mchezaji out of position yeye anang'ang'ania tuNdio maana nikakwambia tunatofautiana namna tunavyoangalia na kuutafsiri. Ila Enzo huwa hachezi namba 10. Mtu wa mwisho kucheza namba 10 vizuri alikua ni Mount. Sasa hivi tuna ingia toka za mara Galagher, Nkunku, Palmer hata Sterling. Sisi hatuna namba 10 mzuri anayeweza kupiga pass za kueleweka hatuna huyo
Nimekuja na hoja ya kumpinga PEP kwa asilimia 50“The final third is not tactics, it’s talent”
“Kevin de Bruyne is pure talent. It’s not about tactics, it’s about talent”.
Hapa Pep amenena vema.
The Blues kuna nafasi za wazi tunazichezeaga kwenye lango la mpinzani
Huwa na imagine tungekuwa na mchezaji aina ya yule Hazard wetu hayo ni magoli tuu.
Arse8 wanachezaga vitatictics vyao uchwara mbele ya goli la mpinzani wanaishia kulaumiana.
Je hii ya PEP ina ukweli ndani yake alipokuwa anamuongelea Kelvin, mimi naona kama ni sawa
Pep
"Sehemu ya goli la mpinzani sio mbinu tu, ni kipaji ndicho kinachotakiwa"
"Kevin de Bruyne ni kipaji halisi. Sio juu ya mbinu, ni juu ya kipaji".
Pep
“The final third is not tactics, it’s talent”
“Kevin de Bruyne is pure talent. It’s not about tactics, it’s about talent”.
Hapa sasa naanza kujirudi, Pochettino tunamuonea bure japo ana sehemu yake ya kuandamwa kwa kuchezesha wachezaji nje ya nafasi zao
Ila hili la kutumbukiza magoli wavuni inatakiwa talent kama alivyosema kipara
View attachment 2872353
Daima ni tactics+tallent=winHuwezi tegemea kila match talent ndio iamue matokeo tho swala zima la kufunga ni juu ya mchezaj ila mpaka hiyo chance inapatikana hapo ndio tactics zinaingia
Nimekuja na hoja ya kumpinga PEP kwa asilimia 50
Huwezi tegemea talent to ukaleta matokeo
50 tactics na 50 tallents
ebu tuone hii video ya Chelsea goli lilifungwa baada ya pasi 26
Je hiyo ni tallent au tactics?
View attachment 2872815
Dah !Ukimshauri Toddy ndio unakosea kabisaa. Subiria uletewe kocha kutoka MLS
Yeah ! Hii ya kujenga timu kwa kutumia makinda ,tena ambao ndio wanaanza career yao ni mtihani sana , hii timu itakuwa midtableTHE BLUES ingemfaa sana Morinyo since day 1 Toddy anaichukua timu.
Yale mahela £1B Toddy aliyomwaga kizembe yangemkuta Morinyo angenunua wazee wa kazi kweli kweli.
Binafsi sio muumini wa kujenga timu kupitia kindergarten (TODDY VISION), napenda sana ile vision ya Roman Abramovich (Lete kocha world class + sajili wachezaji experienced = Makombe)
Hii squad MOU haitaiweza kabisa, MOU ana wachezaji wake wa kumfaa., MOU hatawezana na asquad isiyokuwa na wazee wa hekima kama akina SilvaTHE BLUES ingemfaa sana Morinyo since day 1 Toddy anaichukua timu.
Yale mahela £1B Toddy aliyomwaga kizembe yangemkuta Morinyo angenunua wazee wa kazi kweli kweli.
Binafsi sio muumini wa kujenga timu kupitia kindergarten (TODDY VISION), napenda sana ile vision ya Roman Abramovich (Lete kocha world class + sajili wachezaji experienced = Makombe)
Hii squad MOU atawatukana sana na hadi watoto watafute dirisha ya kutokeaOya dingi Mourinho hana kazi ,hii timu apewe Mourinho ,mzee yupo serious na kazi ,atakuwa anavizaba makofi hivi vitoto mpaka akili ziwakae
Mourinho ana damu ya blue ,apewe timu ,fukuza yule pimbi mwenye mashavu makubwa kama panyabuku mwenye mimba
Game plan inakuwa na vitu hiviDaima ni tactics+tallent=win
MOU aachane tu na mpira, mpira wake ushapitwa na wakati. MOU shughuli yake ilishaishaga kitambo ndio mana kila anapoenda anatimuliwa.Oya dingi Mourinho hana kazi ,hii timu apewe Mourinho ,mzee yupo serious na kazi ,atakuwa anavizaba makofi hivi vitoto mpaka akili ziwakae
Mourinho ana damu ya blue ,apewe timu ,fukuza yule pimbi mwenye mashavu makubwa kama panyabuku mwenye mimba
Basi tumlete HansFlickMOU aachane tu na mpira, mpira wake ushapitwa na wakati. MOU shughuli yake ilishaishaga kitambo ndio mana kila anapoenda anatimuliwa.
Aje THE BLUES tumwagie mipesa ya usajili ambayo haina kazi.MOU aachane tu na mpira, mpira wake ushapitwa na wakati. MOU shughuli yake ilishaishaga kitambo ndio mana kila anapoenda anatimuliwa.