Poch anakalili anafikiri kila left back ni winger kama alivyofanya kwa Bale sasa analazimisha kwa Chilwell na MaitsenBora acheze Chilwell, Mudyk anachezaga na vitu visivyoonekana kwa macho ya kawaida.
Inaoneka wewe ni mtaalam wa mpiraBora acheze Chilwell, Mudyk anachezaga na vitu visivyoonekana kwa macho ya kawaida.
OFcourse ni point lakini tunarudi pale pale hata kocha we mzuri vip bila kuwa na wachezaji wazuri watakao endana na falsafa zake hawezi kufanikiwa.Wataalamu wa soka wanadai Chelsea ni timu kubwa kocha yeyote au mchezaji yeyote anayekuja hapa anakuwa na presure kubwa mabegani mwake ndio maana hawafanyi vizuri
TT aliwakuta wachezaji wa makocha kama watatu hivi, mchuzi mix, maharage, biringanyi makande akabeba UCL, hapo vitiOFcourse ni point lakini tunarudi pale pale hata kocha we mzuri vip bila kuwa na wachezaji wazuri watakao endana na falsafa zake hawezi kufanikiwa.
Am sorry kilichokua kinazungumzwa ni big chances missed ndio tupo juu. Kama tunatengeneza nafasi obvious inabaki ni uwezo wa mchezaji mwenyewe kumalizia. Yan haiwezekani kuwe na pattern ya kutengeneza nafasi halafu hapo hapo kuwe na pattern ya kamalizia hizo nafasi. Nadhani point yangu unaielewa.Ndio maana nakwambia jinsi tunavyoattack o kuzuia hakuna chochote tunachokifanya
Team inayofundishwa vizuri utaona tu jinsi wanavyoshambulia jinsi wanavyojilinda.
Wanaojua zaidi yetu wameuchambua uwezo wake kwenye midfield yetu na impact yake kwenye game ndio maana amepewa.MOTM - Mbona sijaopna mimi alichomzidi Plamer?
View attachment 2870650
Huyu dogo hata mimi ni.emuona ana potential kubwa sana ukizingatia na umri wake. The only thing kitakachomuangusha ni experience hasa siku atakapo chomesha game hata moja tu. Refer case ya Christensen alianza vizuri sana alipoxhomesha game ya Barca ndio ikamuathiri kisaikolojiaPetrovic ni mzuri kumzidi Sanchez ila kwa kuwa Poch akili zake ziko kwenye mashavu utaona Petrovic anasugua bench kipindi sanchez amepona
Huyu TT alikuja kipindi tuna Cesar kama captain, tuna Giroud front, tuna experienced Rudiger, the might Ngolo Kante, a brilliant Kovacic. Ukiwa na wachezaji hao tu atleast kuna jambo unaweza fanya. Sasa leo James ingia toka majeruhi kama yote, Chilwell vilevile, front line Jackson. Unategemea maajabu ya Tuchel yaje hapa?TT aliwakuta wachezaji wa makocha kama watatu hivi, mchuzi mix, maharage, biringanyi makande akabeba UCL, hapo viti
Kocha bora anawafinyanga wachezaji wenye talent wawe wake labda wazee
Kuwa na vijana wenye vipaji Chelse ani fursa kwa kocha yeyote mzuri, wanafinganyika, wanatengenezeka, sio kama wale wazee TT aliwakuta na bado akawakokota hadi kubeba UCL
Wote hao walikuwa takataka wakiwa chini ya Lampard, Nachotaka kuongelea hapa ni kwamba wachezaji wanaweza kuwa wa hovyo chini ya kocha huyu na hapo hapo wakawa wazuri chini ya kocha yule.Huyu TT alikuja kipindi tuna Cesar kama captain, tuna Giroud front, tuna experienced Rudiger, the might Ngolo Kante, a brilliant Kovacic. Ukiwa na wachezaji hao tu atleast kuna jambo unaweza fanya. Sasa leo James ingia toka majeruhi kama yote, Chilwell vilevile, front line Jackson. Unategemea maajabu ya Tuchel yaje hapa?
Sanchez ni bora aendelee kuwa majeruhi au awe kilema kabisa ,mpuuzi yuleSanchez pazia simpendi kabisa. Usajili wa ovyo sana
Akirudi tu Pochettino wenu asivyo na akili sawasawa atamrudisha Sanchez na kumuweka huyo dogo Bechi kisa uzoefu hana. Habari ndio hiyo. Namtegea tu. Kweli Pochettino akimuacha Petrovic aendelee kudaka hata kama Sachez ni mzima nitaanza kumuaminiHuyu dogo hata mimi ni.emuona ana potential kubwa sana ukizingatia na umri wake. The only thing kitakachomuangusha ni experience hasa siku atakapo chomesha game hata moja tu. Refer case ya Christensen alianza vizuri sana alipoxhomesha game ya Barca ndio ikamuathiri kisaikolojia
Mkuu yule Lampard kwenye coaching ni mpuuzi tu. Ila sasa wakati wake Tammy Abraham ndio akawa mkombozi wakeWote hao walikuwa takataka wakiwa chini ya Lampard, Nachotaka kuongelea hapa ni kwamba wachezaji wanaweza kuwa wa hovyo chini ya kocha huyu na hapo hapo wakawa wazuri chini ya kocha yule.
Hata ile game ya UEFA dhidi ya Man CityKante anaamua kuibeba mwenyewe mechi ya Madrid, ingekuwa Caicedo angeharisha damu.
Hawawezi kufanya kosa la kumfukuza pochetinoLampard leo kaonekana akiangalia mechi darajani. Ni adimu sana kuja ila kwa sababu.
Ameonekan akiwa na baadhi ya viongozi wa ngazi ya juu wa Chelsea
Je anaandaliwa kuwa kocha wa mpito kama msimu uliopita?
View attachment 2870773
Wanaojua zaidi yetu wameuchambua uwezo wake kwenye midfield yetu na impact yake kwenye game ndio maana amepewa.
MOTM nadhani ni Colwill sio Enzo, sijapata taarifa rasmi anayejua anisahihisheChief wewe upo Arusha kwa mromboo umeona Mechi uwanja mzima kuliko wachambuzi walioudhuria mechi Stanford bridge.