Njoo ushuhudie namna tunanyanyua vikombe vyoteTimu hiyo isiyobeba kombe, inacheza vizuri halafu mwisho wa siku timu nyingine inabeba kombe. Chelsea tungekuwa na ubora wenu tungewanyamazisha wote
Wewe shabiki uliyopo Arusha ngaramtoni ndio unaona madhaifu elfu 50 ya Poche.Unapoelezea hizo misses ambazo kwangu ni kiashiria cha ujinga wa Kocha pia elezea hizi aspects hapa chini
- Hakuna mifumo ya kushambulia
- Hakuna mfumo wa kujilinda
- Inatumia vibaya wachezaji wengi
- usimamizi mbaya wa mechi
- Hakuna mbinu
- Upangaji mbovu wa timu
- Sub za kutisha
- Hutoa visingizio 101
- Hakuna uwajibikaji
- Hakuna dalili za maendeleo
Aslam aleiykum Ustadh😂Ulipotelea wapi mpendwa, au likizo ya uzazi nini?
Chelsea imemjumuisha Dujuan Richards kwenye orodha ya kikosi cha kwanza. Lazima wamevutiwa naye sana.
Huyu ni winga mzuri sana wa kulia na anacheza pia no 10, CAM, na striker
View attachment 2870525
Man of the match Willian.Line up
4-2-3-1
-------------------Broja------------------------
Sterling -------------Galagher -------------Palmer
---------Enzo ---------------------Caicedo------
Colwill ---------Silva ---------Disasi --------Gusto
-------------------Petrovic------------------------
Sub
- Bettinelli
- Bergström
- Badiashile
- Mudryk
- Madueke
- Chukwuemeka
- Chilwell
- Deivid
- Gilchrist
Wacha kuniongelea mimi, jikite kwenye mada, hizo hoja za uzushi au kweli?Wewe shabiki uliyopo Arusha ngaramtoni ndio unaona madhaifu elfu 50 ya Poche.
Ingekuwa mashabiki wa pale London wanaona madhaifu kama wewe wasingekuwa wanaingia Stanford bridge mpaka Poche aondoke.
[emoji16]Wacha kuniongelea mimi, jikite kwenye mada, hizo hoja za uzushi au kweli?
Lembu [emoji1787] wacha tusubirie mtanange Mkuu😡😡😡😡
Sawa ila matokeo si tunayajua!!Lembu [emoji1787] wacha tusubirie mtanange Mkuu
Wee mchonganishi sana, nani anagombana hapaNa bado
Mtagombana sana mwaka huu🤣
Kichapo ni palepale hadi mumrudishe Tuchel
Wee mchonganishi sana, nani anagombana hapa
Naitwa Romeo Lavia nimesajiliwa Chelsea kuja kula mshahara bure, mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam.Kaka Zekaria asikutishe
Mpige spana[emoji23][emoji23]