Kaweka beki namba tatu acheze winga badala ya madueke huyu kocha mlevi ,Hata kama siipendi hii line-up ila nabashiri Pochettino atakuja leo kihivi
Formation 4-2-3-1
------------------Jackson-----------------------
Mudryk -----------Nkunku ---------------Madueke
--------Caicedo ---------------Gallagher---------
Colwill --------- Silva --------Disasi ---------Gusto
---------------------Petrovic--------------------
Wanasema mchezaji anachaguliwa kulingana na anavhofanya vizuri kwenye mazoezi. Hii ina maana Madueke na Maatsen walikuwa wanafanya vibaya wasichaguliwa, Hata Petrovic na hao wengine wanaosugua benchiKaweka beki namba tatu acheze winga badala ya madueke huyu kocha mlevi ,
Tunachotaka wakimbie kwelikweliChelsea leo imeweka kikosi kichanga kuliko nyakati zote kwenye EPL
Jackson 22
Mudryk 22
Nkunku 26
Maatsen 21
Caicedo 22
Gallagher 23
Colwill 20
Badiashile 22
Disasi 25
Gusto 20
Petrovic 24
Wastani ni 22.5
Bado sijaona sababu ya kumfuta kazi PochForest wamemtimua kocha na sasa wameanza kupata matokeo, Sisi Chelsea tutang'ang'ana na Poche hadi meli izame
Sio kwa mhemko huo utafikiri mnaongoza Ligi kumbe ni kikundi cha wahuni wafuga RastaMudryk tayari
Baadaye kidogo utaonaBado sijaona sababu ya kumfuta kazi Poch