juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Hao Gusto na Matsen wana ubora gani? Wote ni wale wale
Mkuu Enjoy mazagazaga yako uliyoyasajili kwa rekodi.
Hatuwezi kuwa bora uwanjani kwa aina ya wachezaji tulionao.
4CB imelipa Mkuu. Magoli huko ya kumwaga [emoji23]
Katika hii list ebu taja zagazaga ni yupi ili January auzweHatuwezi kuwa bora uwanjani kila eneo kwa aina ya wachezaji tulionao. Wengi mazagazaga
Huyo Gusto katoka majeruhi ulitegemea angeanza au huyo Matsen hana maajabu yoyote hamfikii hata Cucurela kwa hizo beki kucheza ni sawa tu wala hakuna lawamaUna Gusto na Matsen ila cha ajabu unawachezesha Disasi na Colwill kama RB n LB respectively[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnaondelea kumtetea Poch endeleeni
Huyo Gusto katoka majeruhi ulitegemea angeanza au huyo Matsen hana maajabu yoyote hamfikii hata Cucurela kwa hizo beki kucheza ni sawa tu wala hakuna lawama
Sioni mchezaji wa kuanza kwenye best eleven ya Arsenal.Katika hii list ebu taja zagazaga ni yupi ili January auzwe
Mudryk--Sterling---Nkunku----Jackson---- Palmer
Lavia---Chukwuemeka----Enzo---Caicedo --- Gallagher
Maasten--Colwill --Badiashile--Silva--Disasi--James
-------------Sanchez --------Petrovic-------
Maatsen usimlinganishe na CUcurella hata kidogoHuyo Gusto katoka majeruhi ulitegemea angeanza au huyo Matsen hana maajabu yoyote hamfikii hata Cucurela kwa hizo beki kucheza ni sawa tu wala hakuna lawama
Maatsen ni mchezaji wa timu ndogo hana kiwango hicho unachosema halafu yule ni beki 3 ulitaka ni mlinganishe na naniMaatsen usimlinganishe na CUcurella hata kidogo
Poche hakumtaka tangu mwanzoni, Maatsen amekuwa muungwana tu akanyamaza
Ungeona performance ya Matsen Burnely na Pre season usingecoment hivyo
Nafikiri Pochettino hamtumii sana kwa sababu wamejiandaa kumuuza January
Mechi ijayo atacheza halafu sio kila kitu tukosoe kocha anajua zaidi kuliko sisi mashabiki pamoja ya kuwa na mapungufu yakeMkuu against sheffield utd
Na si kwamba labda ilikuwa major injury
Tuko pamoja kabisa caisedo kawekwa kwenye cage yule ni box to box hata Brighton amecheza na DM Gilmor kijana wetu , nasubiri ujio wa lavia labda poche atamfungulia .Sintahitaji kuendeleza issue ya Unai Emery na Arteta kwa sababu wewe una ubishi tu kwenye hili wakati takwimu ziko wazi kabisa kwamba Arsenal Unai ilimkataa kabisa kama Ten Hag Man U inavyomkataa. Bodi sio wajinga wamtimue kocha mwenye uzoefu lukuki, makombe ya ulaya manne halafu eti waje kumuamini mwanafunzi ambaye anaanzia ukocha Arsenal
Issue ya Kante na Caicedo iko hivi
Advance role ni kiungo box to box apart from CDM. Ni nafasi ya kiungo anayecheza mbele na hapo hapo ana uwezo wa kurudi nyuma na kukaba. aliyembadilishia hiyo nafasi na mashabiki wakalalamika hadi wakachoka ni Sari alipokuja na Jorginho ili ampe mtoto wake nafasi hiyo ya katikati kwenye single pivot role na Kante akapelekwa mbele.
Kante mwenyewe akiri kubadilsihiwa role badala ya DM sasa anacheza mbele
"It is something possible [to play Jorginho's role], but the manager decides. It's fine, it's fine. I like this [more advanced] position. Prefer it? It depends on the game, but I enjoy it. I'm with the manager, and I'm enjoying the way I'm playing now.
"It is a position I used to play when I was in France. I'm enjoying participating more in the offensive positions to change the game. I am enjoying it."
Tarehe 23 Feb 2019, Kante akiongea na Nizaar Kinsella wa Goal
'I am enjoying it' - Kante comfortable playing new role under Sarri | Goal.com UK
N'Golo Kante was subbed off after 76 minutes after a job well done in the Europa League against Malmo, as attentions rapidly turned to the Carabao Cup final against Manchester City.www.goal.com
Kante na Caiceod ni copy and paste take it or leave it kwa uchezaji wao. Wanatofautiano kidogo sana.
Kante kajipatia sifa kubwa kwenye ball recoveries, tackling na kusoma mchezo na Caicedo hivyo ana uwezo wa kuusoma mchezo na kujua mashambulizi ya adui inapitia mkondo gani, kuwepo ontime na kukaba au kuzuia au kunyang'anya mpira, wewe unawaseparate vipi kama kweli unawafuatilia hawa wachezaji wawili.
Hii touch MAP inaonyesha jinsi Caicedo anavyocheza box to box zaidi ya CDM
View attachment 2841857
Akiwa Brighton Caicedo kwenye ball recoveries alikuwa wa 8 kwenye ligi na umri wake wa 20-21
Amekuja Chelsea wanamlazimisha acheze CDM amekuwa wa 74, wastage of tallent kwa sababu ya Pochettino mfahidhina ameamua kumfanya mfungwa.
View attachment 2841856
Much like Kante, Caicedo’s recovery tackles and his ability to anticipate where the ball will go, sticking out a spidery leg to turn possession back over, are among his best qualities.
Caicedo can be the new Kante under Pochettino
Alex Keble says new Chelsea midfielder has the attributes to emulate departed Frenchmanwww.premierleague.com
Mechi ijayo atacheza halafu sio kila kitu tukosoe kocha anajua zaidi kuliko sisi mashabiki pamoja ya kuwa na mapungufu yake
Hiyo mechi jana Kocha aliboa kipindi cha kwanzaUnashindwa mpa dakika za kutosha game hii then unaenda mpa dakika nyingi za kutosha game ngumu dhid ya Newcastle