At the end of the day mwenye mamlaka ya mwisho kwa wachezaji na uchezaji na mazoezi ni Kocha, hawezi kwepa huyu. Wenye timu wanaweza kumtimua tu lakini hawawezi kumuingilia kwenye maamuzi. Washauri nao ni hivyo hivyo tu, wanamshauri akikataa basi tena. 100% Kocha anawajibika timu ikifanya vizuri au vibaya.Timu sio ya Pochettino, timu ina wamiliki na viongozi kibao kwenye kila idara.
Wanawajibika moja kwa moja kwenye performance ya timu uwanjani.
Nao wanamshauri kocha na pia na wao wanafanyia kazi mapungufu mengine ndani ya uwanja na nje ya uwanja.
Timu ni taasisi sio mali ya kocha.
Acha uoga wewe lembu. Unazoea tuu mbon simpleAt the end of the day mwenye mamlaka ya mwisho kwa wachezaji na uchezaji na mazoezi ni Kocha, hawezi kwepa huyu. Wenye timu wanaweza kumtimua tu lakini hawawezi kumuingilia kwenye maamuzi. Washauri nao ni hivyo hivyo tu, wanamshauri akikataa basi tena. 100% Kocha anawajibika timu ikifanya vizuri au vibaya.
Kwani ni kipi hakieleweki hapa. Tuanze kumuuliza Boehly kwa nini timu inafanya vibaya? Wao walimaliza upande wao kwenye usajili na kuajiri watum,ishi mbalimbali wa kumsaidia Pochettino.
Benchi la ufundi hawawezi kumuingilia kocha zaidi ya kumsaidia ushauri na mafunzo kwenye nyanja zao
Bado kidogo tu hii Chelsea nitaiacha na kujiuzulu kushabikia mpoira kabisa, mimi siwezi kuwa mshabiki wa Arsenal miaka 10+ bila ushindani wa dhahiri
Kusajili lundo la wachezaji sio factor ya timu kufanya vizuri. EPL sio NBC.
Kocha anajitafuta kuoganise hilo lundo la wachezaji wapya.
Wachezaji nao wanajitafuta haswa kwenye kupata uzoefu EPL.
EPL ni league ngumu huwezi kucompare na ligi nyingine duniani. Epl inahitaji matumizi makubwa ya nguvu, kasi na akili, then mifumo na mbinu baadae.
Umesajili lundo la wachezaji bado tena unataka kusajili wengine. Ingekuwa kusajili wachezaji wengi ndio ushindi, THE BLUES chini ya Toddy tungeshabeba makombe 15
Kwa sababu tulisajili wachezaji wengi Poor. Walidhani EPL ni lelemama.
Nitajie hao wachezaj unawaona wako poor?
Katika hao wachezaji na wengineo walioachwa na wengine kwenda mkopo awataje wachezaji poor kwenye first team
- Petrovic ni poor, hata hajamtest tangu aje
- Badiashile ni poor - Huyu alicheza vizuri sana na wale makocha wabovu
- Disasi ni poor
- Gusto ni poor
- Caisedo ni poor
- Colwill ni poor
- Enzo ni poor - Huyu alicheza vizuri sana na wale makocha wabovu
- Sterling ni poor
- Mudryk ni poor
- Maatsen ni poor
- Jackson ni poor
- Palmer ni poor
Hawa wachezaji apewe tu Arteta, PEP, Ange Postecoglou, De Zerbi au Eddie Howe atakavyowabadilisha halafu kila mchezaji pale mtamtaka kwa mil 100 kwenda juu
Hao wachezaji wangekuwa wabovu wangewadindia City, Arsenal, Liverpool, Spurs??
Cheltako leo vijana wa De Zerbi tunawabandua hapohapo Darajani.
Eti kahama[emoji1787][emoji1787]Hivi mkuu kweli umeisusa NYUMBU?
Redcard Ghallagher , hii timu utoto na mistakes za kijinga haziishii ,week after week
Hii mechi ya kushinda utashitukia tunapoteza au kutoa draw
Duuuh.......Hapa ndio maana nasema hatuna kocha, makosa yale yale kila wiki yanajirudia.
Hata huyu sanchez sijui kwanini anamngangania
Hajui kutumia resources alizonazo vizuriDuuuh.......
Kosa la kocha pale ni nini mkuu?