Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Taratibu mashabiki wa Chelsea tunaanza kuwa sugu na matokeo kama wa Arsenal na Manure
Dah ! Siku wahi tegemea Chelsea siku moja ingekuwa katika hali kama hii .
Yaani standard zimeshuka haswa
 
Difence isiyojua kujiposition wala kufanya marking ni defense gani
Ubora wa hii timu ndio ubora wa kocha, havitenganishwi hivi vitu viwili
Halafu mistakes za ovyo ,ukiangalia magoli yote tuliyofungwa leo
 
Difence isiyojua kujiposition wala kufanya marking ni defense gani
Ubora wa hii timu ndio ubora wa kocha, havitenganishwi hivi vitu viwili
Fouls nyingi uneccesary na ndio tumekuwa yellow cards nyingi n red card
 
Mta press mpaka lini? [emoji23][emoji23][emoji23] Tulieni mkandwe
 
Taratibu mashabiki wa Chelsea tunaanza kuwa sugu na matokeo kama wa Arsenal na Manure
Mtani Usitulinganishe Arsenal na timu yenu iliyokosa Ubunifu ya Chelsea.

Wenzenu Arsenal tulishahama huko muda mrefu 🤗
 
Tumecheza kama walevi na poche kapanga team kama mlevi mkuu Disasi na Caisedo pasipo kujali chochote walipaswa kuanza,hii team ya ajabu sana ,mechi ya man u watacheza kama wanapigania Roho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…