Jtatu tutakuwa na sweters wengi kisa ntu mnahitaji hiyo nafasi ya Spurs. Keshokutwa tutawaruhusu Spurs watufunge hata 10. Hapo vipi?Muwafunge Spurs
Kazeni miguu
Muibuke kidedea
Tunakesha kuombea hii mechi keshokutwa
Mungu ibariki Chelsea😂Jtatu tutakuwa na sweters wengi kisa ntu mnahitaji hiyo nafasi ya Spurs. Keshokutwa tutawaruhusu Spurs watufunge hata 10. Hapo vipi?
🤣🤣🤣The blues for life 🔥💙🔥💙😂
Chama kubwa Chelshit
Chapa spurs
Mungu ibariki Rasta FC
Sababu yakuondoka ni nini?Emma Hayes OBE ataihama Chelsea wanawake mwishinu mwa msimu huu imedhibitishwa na tofuti ya Chelsea
Emma alijiunga na Chelsea mwaka 2012 na wakati wa uongozi wake alishinda mataji sita ya FA WSL, matano ya Kombe la FA kwa Wanawake, Makombe mawili ya Ligi ya Wanawake ya FA, kombe moja la FA Women's Spring Series na moja la Ngao ya Jamii ya FA ya Wanawake.
View attachment 2804006
Anaenda kuwa kocha wa timu ya taifa ya MarekaniSababu yakuondoka ni nini?
AsanteAnaenda kuwa kocha wa timu ya taifa ya Marekani
Nyie kuwafunga Luton tu mmeshindwa ndio mnataka sisi tumfunge spars?!Muwafunge Spurs
Kazeni miguu
Muibuke kidedea
Tunakesha kuombea hii mechi keshokutwa
😂😂😂😂😂Chelsea ndugu zangu nyie
Hziyech22 unanikataa.
Sometime muwe mnakuja jukwaa la united, tunapiga stori km ndugu.
Karibuni sana na kahawa itakuwepo
Tukiendelea kumtegemea Maiko Jackson pale mbele hatutafunga magoli na tutapoteza points kama sio mbili ni tatu kila mechi hadi Nkunku arudi, na akirudi ni Injury prone, anaweza akacheza mechi mbili au tatu kama James akarudi kitandaniKushuka daraja sio rahis hivyo mkuu, timu ikikaa sawa hata top 4 is possible, tunza hii comment.
Atoe draw tu itatosha sana majirani😀😀Huyu mjinga Pochetino na genge lake wasiposhinda leo watafute la kwenda ,pimbi hawa ,wanakera sana
Maiko Jackson yupo tena leo, Pochettino ana ugonjwa wa akiliHuyu mjinga Pochetino na genge lake wasiposhinda leo watafute la kwenda ,pimbi hawa ,wanakera sana
Tunauza mechi sisi hatutaki ushindi.Atoe draw tu itatosha sana majirani😀😀