kama unawafananisha, hawawezi kufanana, chelsea ni chelsea na Newastle ni Newcastle ......So wakumfananisha na Chelsea
Newcastle wanakikosi bora msimu huu kuliko Chelsea.kama unawafananisha, hawawezi kufanana, chelsea ni chelsea na Newastle ni Newcastle ......
ila bado newcastle ni timu ya kawaida sana. Ungenitsha hivyo kw Man city labda ningekuelewa, na city wenyewe game halitakua rahis hivyo. Lolote linaweza kutokea.
Sawa wana kikosi bora ila sio eti tulie kisa tumepangwa nao, hell no. Na tukipangwa na city tufanyeje?Newcastle wanakikosi bora msimu huu kuliko Chelsea.
Mulie au musilie kipigo hakiepukiki, labda msipeleke timu uwanjaniSawa wana kikosi bora ila sio eti tulie kisa tumepangwa nao, hell no. Na tukipangwa na city tufanyeje?
Mulie au musilie kipigo hakiepukiki, labda msipeleke timu uwanjani
Mimi sijaona timu ya kunitisha zaidi ya city. Wengine wote mimi nawaweza.Sawa wana kikosi bora ila sio eti tulie kisa tumepangwa nao, hell no. Na tukipangwa na city tufanyeje?
nilikua cjui kumbe kondoo hilo, ndio mana mgumu kuelewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa acha uchizi mmalizanani kwanza kesho then sisi tutafata
Hapana aisee nyie mtatuelemea 🤣🤣🤣chelsea na united tuungane, tutoe timu moja.
Au vipi ndugu zangu wa damu😅😅😅
HahahaTuachane kwanza na ligi
View attachment 2803390
safi sana, huyu jamaa amekua akituhujumu sana.
Kushuka daraja sio rahis hivyo mkuu, timu ikikaa sawa hata top 4 is possible, tunza hii comment.Mashabiki wa The Blues wakishangilia Taylor kushushwa daraja
Ila tuombe Mungu tusishushwe daraja tukakutana naye huko
God forbid
View: https://youtu.be/FVupmhgteqY
Hapa alizingua sana, halafu ni kama alikua haipendi kbs chelsea na cjui kwa nn bado walikua wanampa mechi nyingi za chelsea achezeshe?Taylaor alimpa kadi ya pili ya njano Kovacic wakati yeye ndie aliyetendewa madhambi
View attachment 2803440