Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamaa kila siku anabadili lineup [emoji1787][emoji1787]

Kesho wakipigwa atakwambia aanze Ogochukwu , Washington , na hivi Wana wachezaji 100, kila siku atakuja na lineup mpya
Oya ndio maana watu wanakuchukia humu, hunaga baya mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Name: Ten Hag
Hype: Klopp
Hair cut: Pep Gurdiola
Expectations: Sir Alex Ferguson
Attitude: Mourinho
Reality: Ole gunnar solskajar
 
Jamaa kila siku anabadili lineup [emoji1787][emoji1787]

Kesho wakipigwa atakwambia aanze Ogochukwu , Washington , na hivi Wana wachezaji 100, kila siku atakuja na lineup mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kifupi wanakikosi kipana [emoji1787][emoji1787]
 
THE BLUES EPL NEXT FIXTURES

Vs Tottenham - TUNAFUNGWA

Vs Man city - TUNAFUNGWA

Vs Newcastle - TUNAFUNGWA

Vs Brighton - SARE/KUFUNGWA

Vs Man Utd - PIPA NA MFUNIKO/SARE
Matokeo yakiwa hivi Basi nafas ya 15-17 inawahusu ,shukuruni Luton , Sheffield na Burney wanafungwa Sana
 
Jamaa kila siku anabadili lineup [emoji1787][emoji1787]

Kesho wakipigwa atakwambia aanze Ogochukwu , Washington , na hivi Wana wachezaji 100, kila siku atakuja na lineup mpya
Hawa jamaa wana first 11 si chini ya nne tofauti bila kurudia mchezaji hata mmoja
 
Hii nimeiona sana, Chelsea fans mnasingizia sababu ya kutoconvert chances mnazotengeneza ni kutokana na kukosekana kwa Nkunku.

Ngoja arudi tuone.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…