Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Utatukubali tu wewe subiri
 
Tukusaidiaje
 
Nkunku atawahi kurudi zaidi ya Chilwell, Lavia na Fofana
Kuna wachezaji wanabusrt injuries kitandani kwa kitandani kwenda mbele
Lavia na Chilwell hadi December na sijuio kama ataongeza muda
Fofana yeye tunajua msimu mzima hatakuwepo, kijana mdogo injuries kila kona, je akizeeka itakuwaje?
Lavia hata kumtest bado na majibu ndio hayo
 
Sahau Conor Gallagher kuwekwa Benchi hata majeruhi wote wakipona, Sahau Gallagher akiuzwa tena
Ameshakuwa Untouchable!
Pochettino na Gallagher wametengeneza muunganiko usiovunjika
Hata maongezi ya kocha na Gallagher mwenyewe ukisikia utajua tu kuwa hao wameshakuwa kitu kimoja
Wale msiompenda inabidi tu mbadilike kwa sababu Gallagher kageuka kuwa mrithi wa Kante na uzuri wake haendi majeruhi hata mkimuombea aumie
Jamaa mbele yuko, nyuma yuko, kulia yupo na kushoto yupo
Gallagher is everywhere
 
Kikosi cha leo kwenye London Derby nyingine saa nane na nusu

----------------Jackson------------------

Sterling --------Palmer------------Madueke

------Caicedo ------------Gallagher-------

Cucurella------Colwill------Silva------Disasi

----------------Sanchez-------------------

Sub
  1. Dorde Petrovic
  2. Benoite Badiashile
  3. Reece James
  4. Malo Gusto
  5. Ugochukwu Lesley
  6. Ian Maasten
  7. Eddie Beach
  8. Deivid Washington
  9. Alex Matos
 
Leo Gallagher kapewa usinga mbele ya Sterling
 
Sicheki mpira ila kwa jins nilivyoona kikosi sijui kama tutatoka, mpk madueke anacheza🤣!!
 
Uyo N.Jackson kila mechi anazidi kua kilawaza wallah. Kila mechi ni sawa na ana'play against us.


Yaani sijui strength yake ni nini hadi sasa.
Sio clinical finisher.
Positioning yake ni mbovu.
Not bull.
Sio speedster.
Hata vyenga hajui, mpira kurelease kwa wakati hawezi..

Rubbish player huyu..


Madueke naye ni winger za kiingereza (kila mda anawaza kurudisha mpira nyuma), hata one vs one hataki kujaribu kupita
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…