Kiungo mmoja tu hapo Odegaard ,huyo mchele na Thomas ( kikongwe anayedanganya umri ) watachakaa , hao wawili Ghallagher atawanyoosha , Odegaard tunamkabidhi mzee wa kazi hizo CaicedoBest Midfield trio in the world
Ukibisha , Jumamos ndio mtaelewa
Kuna wakati itafika hamtagusa mpira kabisa View attachment 2786449
Mtajuta kuingiza timu yenu uwanjani hiyo mliyojaza wanywa ulanziBest Midfield trio in the world
Ukibisha , Jumamos ndio mtaelewa
Kuna wakati itafika hamtagusa mpira kabisa View attachment 2786449
ubwabwa atapoteana huyuuKwaio mnamtegemea galanyeto akapambane na mido ya boli?View attachment 2786761
we mbona ulikuwa inaamini utamfunga cityThe last time Arsenal lost at Stamford Bridge was 2018, I genuinely have no idea where these lots are getting their confidence from.
Nilishampiga Community shield akiwa fullwe mbona ulikuwa inaamini utamfunga city
nakati ulikuwa unakula kipigo
kesho tutaona kakaThe last time Chelsea won against Arsenal at Stamford Bridge, Reece James was on loan at Wigan Athletic.
Stamford Bridge is officially our second training ground[emoji88]View attachment 2787181
[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa Kima wamemsimanga sana mtoto wa Zelensky kesho lazima awaonyeshe kwa nini aliwakataa Arsenyau na akaamua kujiunga na Blue Army (The Pride of London)Imebaki siku moja tu wa hizi tambo zako, ndio wakat wako huu. Baada y jmos utarudi mafichoni kama kawaida yako. hatutaki visingizio
Narudia hatutaki visingizio.
Silaha za kazi leo saa moja na nusu saa za afrika mashariki hizi hapaLine-up predictions
1.Sanchez
2.James
3.Colwin
4.disasi
5.Silva
6.Caicedo
7.sterling
8.Enzo
9.Jackson
10.Gallagher
11.Palmer