James Rodriguez 10
Senior Member
- May 4, 2023
- 142
- 230
To be honestPia usisahau kunote mfungaji wa magoli y chelsea Vs Ars88 ni fundi mmoja wa kiukraine. Itauma eeeh?
James, Badiashile, Chalobah, Malo gusto watakuwa wamesharudi.Kapumzikeni vizuri international break, mvute pumzi ya kutosha mana najua mpaka inafika x-mas watakua wamebaki watu 2 tu humu..
Nzi wa buluu nyie!😁
Repost: Picha nimechukua humu humu, msije mkaniua😂
View attachment 2774845
Nyie wapumbavu hamna team mwaka huu.Mna team dhaifu sana.
Nyie ni wapumbavu tu
Ni Derby mkuu yoyote anapgika tu,usifikiri itakua game rahis kw Arsenal.To be honest
Bado hatuna team ya kumsumbua arsenal. Labda mpaka February huko ndipo naweza kuwa na guts za kumtaka yeyote.
Mkicheza na promoted teams huwa mnaziwashia sana moto na kusahau ubovu wote mlio nao.
Kuanzia kwa Luton na jana Burnley..
Just a reminder, don't be carried away guys! Bado mna safari.
Naipongeza chelsea kwa kushinda mechi mbili mfululizo kwa mara ya kwanza ndani ya miez 7 iliyopita mara ya mwisho ilikua March
Chelsea inabadilika kulingana na anayecheza naye, mechi na Liverpool game ilikuwa ya hali ya juu. Game na Westham tulicheza vizuri, Game na Aston Villa pia tulicheza vizuri sanaTo be honest
Bado hatuna team ya kumsumbua arsenal. Labda mpaka February huko ndipo naweza kuwa na guts za kumtaka yeyote.
Uwezo wa kumfunga Arsenal haupo labda bahati iingilie kati. Arsenal wako ahead (uwanjani) kwa project yao kwa kila kitu vs Chelsea. Timu bado inafungwa cheap goals na bado ukuta wa disasi na silva ni mwepesi sana kwa timu zenye pace. Kushinda mechi kadhaa dhidi ya mid team kisitupofushe macho na kudhani tunaweza kumatch na timu zinazofukuzia ubingwaChelsea inabadilika kulingana na anayecheza naye, mechi na Liverpool game ilikuwa ya hali ya juu. Game na Aston Villa pia tulicheza vizuri sana
Naamini vs Asernal vijana na kocha watakuja tofauti, tukiweza kuwafanyia pressing ya hali ya juu Arsenal na kuweza kuboresha umiliki wa mpira tutawafunga
Nyie wapumbavu team bado hamna msimu huu
sio kirahis hivyo! Sisi ni wabovu ila liva walishindwa kuchukua point, achilia mbali kudominate mchezo.Uwezo wa kumfunga Arsenal haupo labda bahati iingilie kati. Arsenal wako ahead (uwanjani) kwa project yao kwa kila kitu vs Chelsea. Timu bado inafungwa cheap goals na bado ukuta wa disasi na silva ni mwepesi sana kwa timu zenye pace. Kushinda mechi kadhaa dhidi ya mid team kisitupofushe macho na kudhani tunaweza kumatch na timu zinazofukuzia ubingwa
Sawa we jifariji, kwanza umeangalia game huko uone jamaa sio tu kwamba wanauwezo ila wana fighting spirit ya hali ya juu.sio kirahis hivyo! Sisi ni wabovu ila liva walishindwa kuchukua point, achilia mbali kudominate mchezo.
Man u na ubovu wake akikutanaga na City huwa anampapasa kama mkewe. So gemu za derby usizichukulie kiwepesi hivyo.
Hiyo furaha mliokuwa nayo ni ya mda mfupi tu wala haitadumu