Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Luiz and Kamara cost Villa a combined £15m and they were far superior to Fernandes and Caicedo (£220m).
 
Tusipo funga goal mechi na Brighton inamaana mwezi sisi Chelsea hatutakua na GOAL OF THE MONTH
 
Wamewakataa wachezaji wenye experience na mabaki yote ya Roman na ndio maana tuko kwenye hali hii
 
Chelsea should apologize to us ama kichapo iendelee they conned us nani aliconiwa zaidi[emoji23][emoji23]
 
Mkuu ufafanuzi kidogo.

Paparazi ndo nani trna?
 
Unaogopa kwa sababu tuna timu kali, bado tu huyo Jackson hajakaa vizuri na huyo Sterling akiwekwa benchi tutazifanya timu zingine kama tulivyowafanya mechi ya ufunguzi
Hivi kweli mashabiki wa reggae mmeanza kuchizika namna hii🤣
 
Tuchel sikuwa namchukia hata kidogo ila pia sikuwahi kumkubali 100% kwa sababu yeye alitegemea sana mbinu mbinu tu na nyota ya siku. Hakuwa kocha wa kuweka mfumo na kushinda kwa huo mfumo
Kwa taarifa yenu tulikuwa tunatetemeka tukikutana na Chelsea ile ya Tuchel.
Ila sasa hivi tunajua ni kipigo kwa kwenda mbele.
 
Tatizo huyo jamaa ataflop tu vibaya kama wengine .
Pochetino mpumbavu ,usishangae akamchezesha kama beki[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Haipendezi kukosoa uumbaji wa Mungu.
Si ushabiki huu, ni kufuru.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwan ni kwel yupo hvyo? Em tulia kufulu unaijua ww, kufulu ni kama nikweli yupo hvyo au hana viungo nikamsema mtu hapo sawa usikurupuke. Huo ni utani tu na upo kwenye soka pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…