Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Niko njiani kuangalia mechi nakuwaachia wachezaji 11 waamue mood yangu baada ya masaa mawili yajayo
 
HT tunaomba uchambuzi kwa tulioshindwa kuangalia mechi, vipi Ghalagah ameweza kupga foward pass hata moja, vipi mipira yote bado inapelekwa kwa Sterling.
 
Nimetoka kumwambia mtu hapa team yenu ipo very competitive imekamilika nyuma na kati kasoro mbele kule mnamuitaji sana nkuku kama kuna mtu kafukia mbuz pale darajan mwende mkafukue

Ila leo mnashinda wakuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…