The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 784
- 1,159
Labda anaangali utaifa ndio anachagua ampe nani kitambaa maana wote waliopewa awamu yake ni waingerezaHamna kocha humo, wachezaji wake muhimu ni akina Ghallagh na kitambaa cha ukapteni kampa wakati Silver ingependeza apewe. ***** sana huyo kocha.
Kwakua na yeye anarasta tutamchukua dirisha linalokujaBeki huyuapa sasaView attachment 2756123
Sio mbovu, ni kiazi sanaNyie kila kocha mbovu....
Trust the process Poch is cooking
Sanchez anaweza kubadilika, mechi na Bonamouth alikuwa MOTM na akiweza kuwa consistence kwa mukadha huo kwa msimu mzima basi tumempata KipaIla pia kwa Sanchez tumepigwa, bora Keppa mara 100.
Wangemchukua ALiu Cisse maana yule ana rastaNyie kila kocha mbovu....
Trust the process Poch is cooking
Unasemaje kituko, kaokoa magoli mengi na wala sisi hatukufanya majaribio makubwa ya kufunga. ISingekuwa saves zake tungelala goli sio chini ya 3 au 4MOTM against Bournemouth ni kituko
Hii inaonyesha mifumo yetu ya ushambuliaji sio mizuri kabisa, Chelsea imezoea kufanya vizuri chini ya makocha wa kupaki mabasi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chelsea kwa sasa hawana tofauti na demu ambae alikua ana bwana wake anaempenda sana ila wazazi wakamlazisha aolewe na mwanaume mwingine.Nyie kila kocha mbovu....
Trust the process Poch is cooking
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]#Chelsea are working on finding a short-term solution that is beneficial for both Mykhailo Mudryk and the club, potentially a loan move to help his development.
(@fichajesnet)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chelsea kwa sasa hawana tofauti na demu ambae alikua ana bwana wake anaempenda sana ila wazazi wakamlazisha aolewe na mwanaume mwingine. View attachment 2757945