Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Sasa hawa Wafuga Rasta wa Darajani utazane wa pale Tazara au Mfugale kuvuta Bangi si ndiyo kawaida yao ndiyomana wanafungwa lakini wanafurahia wanaupiga mwingi.Uwanjani watu hawachezi na bangi
Bado tunapika muache kuwa na haraka au tutawapa chakula kibichi!
Hawa wachhezaji 18 waliikataa Liverpool msimu huu tuKwa aina ya usajili munavyofanya baada ya hiyo miaka 5 wachezaji waliopo watakuwa hawapo tena hata mmoja bali muna wengine wapya hivyo mutaendelea kujitafuta kizazi na kizazi.
Liva ina kimavi.Hawa wachhezaji 18 waliikataa Liverpool msimu huu tu
- Jesper Lindstrom rejected Liverpool
- Jordan Heanderson - felt not wanted at LFC
- Mo Salah is rejecting Liverpool
- Joao Felix rejected Liverpool
- Mason Mount rejected Liverpool
- Moises Caicedo rejected Liverpool
- Romeo Lavia rejected Liverpool
- Bellingham
- Mbappe
- Colwill
- Tchouameni
- Valverde
- Amrabat
- Enzo
- Doku
- Kone
- Timber
- Thuram
MO Salah yupo Timu gani kwani baada ya kuikataa Liverpool?Hawa wachhezaji 18 waliikataa Liverpool msimu huu tu
- Jesper Lindstrom rejected Liverpool
- Jordan Heanderson - felt not wanted at LFC
- Mo Salah is rejecting Liverpool
- Joao Felix rejected Liverpool
- Mason Mount rejected Liverpool
- Moises Caicedo rejected Liverpool
- Romeo Lavia rejected Liverpool
- Bellingham
- Mbappe
- Colwill
- Tchouameni
- Valverde
- Amrabat
- Enzo
- Doku
- Kone
- Timber
- Thuram
Al ittihad [emoji1787][emoji1787]MO Salah yupo Timu gani kwani baada ya kuikataa Liverpool?
Kuna James na Broja pia watarudi kwenye mechi na Bournemouth Pia Lavia, Badiashile na Chalobah wako tayari kurudi kwenye hiyo mechiTaarifa za majeruhi wetu kwa sasa
Benoit Badiashile – returned to partial team training.
Marcus Bettinelli – continuing to undergo his rehabilitation programme.
Trevoh Chalobah – continuing to undergo his rehabilitation programme.
Carney Chukwuemeka – continuing with the early stages of his rehabilitation programme.
Wesley Fofana – continuing with the early stages of his rehabilitation programme.
Christopher Nkunku – continuing with the early stages of his rehabilitation programme.
Romeo Lavia – returned to partial team training.
Manyamnyam[emoji1787][emoji23][emoji117] Wamiliki Wapya
[emoji117] Uongozi Mpya
[emoji117] Kocha Mpya
[emoji117] Wachezaji Wapya
[emoji117] Sera Mpya
THE BLUES tutajitafuta sio chini ya miaka 5 kuanza kushinda tena Makombe.
Manyamnyam[emoji1787][emoji23][emoji117] Wamiliki Wapya
[emoji117] Uongozi Mpya
[emoji117] Kocha Mpya
[emoji117] Wachezaji Wapya
[emoji117] Sera Mpya
THE BLUES tutajitafuta sio chini ya miaka 5 kuanza kushinda tena Makombe.
Ahaaa Al-Ittihad ya Uengereza kwenye viunga vya Merseyside kumbe! Basi hakuna shida.Al ittihad [emoji1787][emoji1787]
Huyo Madueke ndio hamna kitu kabisa humo, anakaa na mpira sana halafu hamna cha maana anachokifanya.Mudyk
Madueke
Disasi
Sanchez
Kuna kusajili wachezaji sokoni na kuna kutembea sokoni kufanya shopping ya wachezaji.
Karibu timu ya mabingwa Man City🤝🏽Ila hii team inapoelekea itanifanya niihame
Poch n kocha mzuri ila sio kwa Chelsea mana imemzidi experience.
Team imejaza wachezaji wasiokuwa na experience
Tunajifariji team itakuwa kali miaka mitano ijayo kutokana na aina ya wachezaji tulionao, sasa wakati huo tutakuwa championship huko
Mm ni shabiki wa Man City kisiri siri
Nikutafsirie nilichokiandikaMO Salah yupo Timu gani kwani baada ya kuikataa Liverpool?
Miaka mitano mingi, hawa wachezaji wanahitaji mwaka mmoja na ikizidi sana miwiliIla hii team inapoelekea itanifanya niihame
Poch n kocha mzuri ila sio kwa Chelsea mana imemzidi experience.
Team imejaza wachezaji wasiokuwa na experience
Tunajifariji team itakuwa kali miaka mitano ijayo kutokana na aina ya wachezaji tulionao, sasa wakati huo tutakuwa championship huko
Mm ni shabiki wa Man City kisiri siri