Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Colwil anachezeshwa kamq LB.
 
Wachezaji prospect kama Mudryk ni lazima apewe dakika ili akue kwenye talent yake. Billy Gilmour huku tulimuona kama garasha tukamuuza pesa ndogo. Kama Chelsea ikianzisha move ya kumnunua sasa hivi itamnunua sio chini ya 80m, akili za hao wanaofanya maamuzi ndizo garasa haswa. Sisi tumekazana kuwapeleka wachezaji mkopo. Casadei ni attacking mid mzuri sana na kaonyesha hivyo kwenye mashindani mbalimbali ikiwemo pre season, yuko wapi sasa hivi. Colwill ni LCB kila mtu anajua, halafu unakuja kumchezesha LB unamuacha Silva na uzee woote wa miaka 39 katikati. Maatsena amecheza vizuri pre season unamuweka benchi mara walitaka kumuuza mara walitaka kumtoa mkopo hadi mchezaji akakataa. Nini maana ya Pre-season. Kila kocha hata awe mzuri namana gani wengi wao wana upumbavu unaokuja kuonekana kwenye maamuzi mbuzi wanayofanya
 
Poch hamna kocha mle alipaswa aanze na wale madogo wa preseason kama kweli anakuza vipaji kuliko huu usajiri uliofanyika wa akina Caicedo na lavia ndo umezidi kuharibu timu
 
Mkitoboa salama hapa ,Basi mtamaliza nafasi nzuri EPL

Ila kwa kipa wenu shati yule Sanchez ambaye pale Brighton alishaanza kuwa chaguo la 3, hapa mnaweza kuchezea vipigo heavy
 
[emoji117] Wamiliki Wapya
[emoji117] Uongozi Mpya
[emoji117] Kocha Mpya
[emoji117] Wacheza Wapya
[emoji117] Sera Mpya

THE BLUES tutajitafuta sio chini ya miaka 5 kuanza kushinda tena Makombe.
Kwa aina ya usajili munavyofanya baada ya hiyo miaka 5 wachezaji waliopo watakuwa hawapo tena hata mmoja bali muna wengine wapya hivyo mutaendelea kujitafuta kizazi na kizazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…