Utashangaa hapo ndipo tukapata points nyingi. Refer game ya LiverpoolTukiambulia point 3 hapa niitwe paka mweusiView attachment 2737446
Huyo angeenda Arsenal au Brighton angesha kick muda mrefuNakubaliana na wewe Mudryk hajapewa muda ila ni mchezaji mzuri sana
Sasa hata huo muda hizo dkk 15 anazopewa hakuna cha maana touch zake mbovu anachowaza ni kukimbia tuuh ,Mkuu huyo Mudi hata muda wa kucheza tangu kaja Chelsea hapati ila mie naaamin ni mchezaji mzuri sana sema Chelsea macho yao yanfunikwa na uengereza
Liver ambayo haikuwa na dm na timu ilikuwa haina muunganiko kwny mido ndo mjisifu kwa mpira upi tatizo la chelsea mna wavulana wengi sana kwny safu ya ushambuliaji hakuna wanaume ambao wana weza badili nafasi moja tu kuwania point zote tatuUtashangaa hapo ndipo tukapata points nyingi. Refer game ya Liverpool
Halafu kinachotuangusha ni silly individual mistakes plus defense yetu bado haiko stable
Silva msimu huu atatutobolesha sana
Colwill na Disasi bado wachanga. Kipa Sachez kimeo kuliko Kepa
Mbele hakuna no 10 creative, Jackson bado sana
Chukwumekea alishajua naman ya kuwachezesha wenzake hasa mbele
Nkunku ni mzoezu ila yuko kitandani
James Mr Captain yuko wodini
Hii Chelsea tukitoboa msimu huu basi tu
SanaHuyo angeenda Arsenal au Brighton angesha kick muda mrefu
Hii Chelsea makocha wote wakija wanakuwa wameshalogwa
Sio rahisi Chelsea kupata alama 3 kwa sasa hivi mbele ya City, United, Arsenal, Newcastle, Brentford, Aston Villa au Brighton hata kama hizi timu zisipokuwa na form mzuri.Utashangaa hapo ndipo tukapata points nyingi. Refer game ya Liverpool
Halafu kinachotuangusha ni silly individual mistakes plus defense yetu bado haiko stable
Silva msimu huu atatutobolesha sana
Colwill na Disasi bado wachanga. Kipa Sachez kimeo kuliko Kepa
Mbele hakuna no 10 creative, Jackson bado sana
Chukwumekea alishajua naman ya kuwachezesha wenzake hasa mbele
Nkunku ni mzoezu ila yuko kitandani
James Mr Captain yuko wodini
Hii Chelsea tukitoboa msimu huu basi tu
Kosa lingine ni kutokuwa na mwalim sahihi.Timu ikijaza vijana wadogo ngonjera zitakuwa tunajenga timu kila siku. Vijana wadogo hawapaswi kuwa wengi kikosini. Umri sahihi wachezaji wanaopswa kuwa wengi ni miaka 23 mpaka 28. Umri huu ni watu wasio na cha kujitetea wapo ktk umri wa ushindani.
Utani wa ngumi kabisa huu [emoji847][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kama vipi tuihamishe Chelsea ikacheze ligi kuu ya Jamaica [emoji1135] maana sasa hivi Marastafarians wote ukiwaambia wakutajie timu yao ya taifa wanasema Chelsea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2737108
nAkubaliana na ww 100% kocha anafanya makosa yale yale ya kina potter, ana wachezaji kibao benchi wazur, yeye amekomaa na kina Ghalagah asieweza hata kupgia foward pasi moja kw usahihi.Mkuu huyo Mudi hata muda wa kucheza tangu kaja Chelsea hapati ila mie naaamin ni mchezaji mzuri sana sema Chelsea macho yao yanfunikwa na uengereza
Kiukweli sikuona kosa la silver, ila Colwil ndio aliyetuchomesha na kipa pazia, bora Kepa na Mendy mara 800Silva ameanza kuwa mzigo, Colwill yuko slow kukaba na kufanya covering. Sanchez hawezi kudive. Tunashida kocha asipofanya mabadiliko
View attachment 2737141
Shida ni kocha sasa, Una wingers wa kutosha njee ila cha ajabu unawaweka njee na nafas yao anachukua chilwell, halaf hali ikiwa ngumj ndio anawaingiza sasa.Tuchel alisema:-
Same Players, same Problems.
Now ni New Players, Same Problems
Mudryk hana convidence kwa sababu kocha hakumpaSasa hata huo muda hizo dkk 15 anazopewa hakuna cha maana touch zake mbovu anachowaza ni kukimbia tuuh ,
Fuatlia magoli ya Westham na hii ya Forest Silva hakuweka jitihadaKiukweli sikuona kosa la silver, ila Colwil ndio aliyetuchomesha na kipa pazia, bora Kepa na Mendy mara 800
Tangu tuanze ligi formation inayotumika ni 4-2-3-1. Kosa la Pochettino ni kuwachezesha wachezaji nje ya nafasi zaoShida ni kocha sasa, Una wingers wa kutosha njee ila cha ajabu unawaweka njee na nafas yao anachukua chilwell, halaf hali ikiwa ngumj ndio anawaingiza sasa.
Wape nafas na si dakika 10-15 za kucheza.
Poch asipobadilika huu msim utakuwa mrefu sana na tutakuwa kituko haitaji uwe na phd kuona shida ni nini.