Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,439
- 17,919
Chelsea ni kenge maji.Uhakika,hiki ni kikundi cha wavaa vijora[emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana.Mtu mweusi na mpira wapi na wapi
Ndio maana Pep hataki hata kuwasikia
Unatia weupe 9 mweusi mmoja hapo utashinda.
Timu gani imechukua kombe na weusi 8 uwanjani
Sie tubaki kuuza mali zetu
Pochetino nae akiendelea kumkumbatia Ghalagah atafukuzwa kama wengine.
Bora wangechukua endoCaicedo Mmepigwa aiseee.
Timu yote mbovuIla wanangu hatuna kipa, bora hata enzo awe kipa
Timu ya taifa ufaransaMtu mweusi na mpira wapi na wapi
Ndio maana Pep hataki hata kuwasikia
Unatia weupe 9 mweusi mmoja hapo utashinda.
Timu gani imechukua kombe na weusi 8 uwanjani
Sie tubaki kuuza mali zetu
Jalalani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu Jackson mmemtoa wapi aisee...