Uefa na EPL wanafanya audit katika misimu mitatu tu na kupima kama kumetokea ukiukwaji wa FFP au laJumla ni £1.02bn = Tshs 3,232.635bn
= 3.2 Trillions
Huyu no. 10 ni yake hadi akina Chukwuemeka na Nkunku warudiPochettino akimuelezea Cole Palmer:
"Ana ufanisi wa kucheza kati ya mistari, nambari 10, mchezaji wa kuchezeshaa wenzake (playmaker). Ni mchezaji ambaye ni tofauti na wachezaji tulionao. Anaweza kucheza upande winga wa kushoto au kulia.
Anaweza kucheza 1x1 na kuingia ndani na kuwaunganisha wenzake kwa kucheza. Kisha anaweza pia kucheza kama nambari 10 kwani ana ubora kwenye hilo. Anaweza pia kucheza nambari 8 kwa kuwa ana uwezo wa kutoa pasi kwa kwa usahihi"
View attachment 2736187
Usiwaite wehu wachezaji ambao kocha amewataka na kuwamwagia sifaHao wachezaji ni wehu, yaan wanakataa ofa kisa wanaipenda chelsea?! Hasa hasa huyo Mirasta Michafu,Wachezaji wote waliouzwa wangesema hivyo ina maana kusingekua na biashara.
Huyu angekuwepo wakati huu tungemsajili naye
Kumbuka Chelsea imeuza wachezaji kama 12 hivi msimu huu - na waliongia wengi ni vijana wa miaka 20 - 23 ambapo wengi wao wamepewa mikataba ya miaka 6 - 8 kupunguza hizo hesabu unazosemea. Kwa hiyo sidhani Chelsea wataingia kwenye rungu la Fair Play regulations.Uefa na EPL wanafanya audit katika misimu mitatu tu na kupima kama kumetokea ukiukwaji wa FFP au la
Katika hizo misimu mitatu tujiulize
- Tumetumia kiasi gani?
- Tumeuza kiasi gani?
- Tumeokoa mizigo ya mishahara kiasi gaani?
- Tumefanya amortization ya mikataba kwa kiasi gani?
Christian Pulisic | July 13 | FWD | AC Milan | £19.7m/$26m |
| David Datro Fofana | July 11 | FWD | Union Berlin | Loan |
| Abdul Rahman Baba | July 10 | DEF | PAOK | Free |
| Cesar Azpilicueta | July 6 | DEF | Atletico Madrid | Free |
| Mason Mount | July 5 | MID | Man United | £55m/$72m |
| Kai Havertz | July 1 | FWD | Arsenal | £60m/$79m |
| Mateo Kovacic | July 1 | MID | Man City | £25m/$33m |
| Kalidou Koulibaly | July 1 | DEF | Al Hilal | £19.7m/$26m |
| Edouard Mendy | July 1 | GK | Al Ahli | £16m/$21m |
| N'Golo Kante | July 1 | MID | Al Ittihad | Free |
| Dujon Sterling | July 1 | DEF | Rangers | Free |
| Ruben Loftus-Cheek | July 1 | MID | AC Milan | £13.7m/$18m |
Halafu hao wanaoisema Chelsea kutumia sana kwanza hawajui tumetumia casha kiasi gani. Manunuzi mengi yanalipwa kwa installments, kuna zingine hadi zaidi ya miaka mitatu. Hapo hujaweka amortization ya mikataba. hujaweka tuliingiza kiasi gani kwa kuuza na mikopo (Kuna zaidi ya mil 300 kwa kuuza na mikopo. Kuna zaidi ya mil 140 kwenye mishahara mikubwa. Amortization ya wachezaji haizidi mil 150Kumbuka Chelsea imeuza wachezaji kama 12 hivi msimu huu - na waliongia wengi ni vijana wa miaka 20 - 23 ambapo wengi wao wamepewa mikataba ya miaka 6 - 8 kupunguza hizo hesabu unazosemea. Kwa hiyo sidhani Chelsea wataingia kwenye rungu la Fair Play regulations.
Christian PulisicJuly 13 FWD AC Milan £19.7m/$26m David Datro Fofana July 11 FWD Union Berlin Loan Abdul Rahman Baba July 10 DEF PAOK Free Cesar Azpilicueta July 6 DEF Atletico Madrid Free Mason Mount July 5 MID Man United £55m/$72m Kai Havertz July 1 FWD Arsenal £60m/$79m Mateo Kovacic July 1 MID Man City £25m/$33m Kalidou Koulibaly July 1 DEF Al Hilal £19.7m/$26m Edouard Mendy July 1 GK Al Ahli £16m/$21m N'Golo Kante July 1 MID Al Ittihad Free Dujon Sterling July 1 DEF Rangers Free Ruben Loftus-Cheek July 1 MID AC Milan £13.7m/$18m
Kuna pepo linaniambia Kuna ukai havertz ndani ya palmer 😂😂😂😂.Huyu no. 10 ni yake hadi akina Chukwuemeka na Nkunku warudi
Japo ushindani mkubwa kwenye no. 10 utakuwa kati ya Chukwuemeka na Cole
Nkunku ataweka ushindani kwenye nafasi ya Mudryk na Jackson
Sterling ataweka zaidi ushindani kwenye nafasi ya Madueke
Kiungo Pivot ya mbili ni Enzo, Lavia, Caicedo na Lesley
Chalobah na Malo Gusto
RCB ni Silva na Disasi na James
LCB ni Badiashile na Colwill
LB ni Chilwell na Maatsenan na Cucurella
Dstv channel namba 227. EnjoyWadau mechi naangalia wapi online nimeenda kibanda umiza jamaa amelipa alafu DSTV hawajamfungulia channel
Nimekwambia hajamfungulia mimi nataka kuangalia onlineDstv channel namba 227. Enjoy
🤣🤣🤣🤣DSTV inatakiwa ulipie siku moja kabla ya mechi , system zao sijui zipoje yani ukilipia inabidi muanze kupigiana simu tena
Nimekwambia hajamfungulia mimi nataka kuangalia online
Ila hili li timu bhana