chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
Nahisi unafikiri kwa kutumia ma------ n i think you know nothing in football world more tha kutoa povu tuhata the london hammers hawana mkakati kabisa.. mkuu uwe unakubali ukiona watu wanakuzidi kila kitu chengine zaidi ya ramiles na oscar sijaona mchezaji mwengine wa chelski mkali..
Yaani j3 ndio watafahamu kuwa josee is a master of his own world hakuna mtu ka yeye
Ni masaa tu yamebaki kuelekea kwenye big test kitu ushindi ndo muhimu kwetu.Possitive!
Bado masaa 48 ivi tuingie Etihad na kuchukua point zetu!
Ni masaa tu yamebaki kuelekea kwenye big test kitu ushindi ndo muhimu kwetu.
Kila la heri.Kila wakati ni tabu unapokutana na timu ambazo Mourinho anaziongoza! By J. Navas
Kila la heri.
Kesho Chelsea Lazima wamshikishe adabu City!!
Atimae ile siku imewadia ya kwenda kuudhihirishia ulimwengu ndani ya Etihad kua sisi ni mabingwa!
In chelsea we trust!
napenda sana wale mabeki wa manchester city; lescott na zabaleta, watahangaika sana kuwazuia mafundi: Willian-Oscar-Hazard.
Kwa upande wetu; ulinzi ni jadi yetu; sina shaka na uchezaji wa Terry na Cahill.
Yaani j3 ndio watafahamu kuwa josee is a master of his own world hakuna mtu ka yeye
Kazi ya viungo wetu ni kuhakikisha Toure na Silva hawatoi pasi kuwafikia Negredo na Dzeko!