Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,525
- 14,873
Chelsea ni wehu sanaTayari huko, kipara kashaweka mil 40
Online Hesgoal.com walifulia au walitokomea wapi? Walikuwa wanaburudisha sana hao JamaaAzam wanaonesha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]UMeongea kilichokua akilini mwangu huyu dogo akipata mipira anachofikiria ni kufunga hat kama hayupo kwnye position y kufunga, ni Odoi au Madueke wakizungu. Sipendagi wachezaji kama hao basi tu ndio wameshaamua wenye timu.
Hatuwezi kupigwa, kawaida kipindi cha kwanza unawapa nafasi wale wasiopata nafasi kabisaTupigwe tuu
Huyu Cole ni kipaji, tatizo ni wa kusubiriwa angalau msimu mzima kama hao wengine tuliowapeleka kwenye mikopo. Ila naona Chelsea wamemnunua kuziba nafasi ya Chukwuemeka. Wsaingemtoa Casedei angetosha kabisa kuliko kupoteza Pauni zote Mil 45Chelsea ni wehu sana
Jakcosn kashaingia kama nilivyosema kati ya dk 45 hadi 70 watalkuwa wameingizwa wote wachezaji muhimu ikibidi kuongeza makali ili tusije pigiana penalti na hawa vibondeHatuwezi kupigwa, kawaida kipindi cha kwanza unawapa nafasi wale wasiopata nafasi kabisa
Sasa inaonyesha hawawezi
Kipindi Cha pili lazima Enzo, Caicedo, Jackson, malo na Silva waingiekati ya 45-70mins ili kuhakikisha hatuendi kwenye penalti
Baada ya Malo na Enzo kuingia mpira unaleta tumaini sasa, hawa league two wanataka kutuaibisha hapa darajaniHatuwezi kupigwa, kawaida kipindi cha kwanza unawapa nafasi wale wasiopata nafasi kabisa
Sasa inaonyesha hawawezi
Kipindi Cha pili lazima Enzo, Caicedo, Jackson, malo na Silva waingiekati ya 45-70mins ili kuhakikisha hatuendi kwenye penalti
Palmer ana ofa kitu ambacho hakipo kwa washambuliaji wetuPalmer mzuri sema dogo ni mchoyo wa pasi , nimemuona kwenye mechi nyingi za City utakuta kuna nafasi nzuri ya kiachia pass kwa mchezaji mwenzake ila atalazimisha kupiga
Huyo mtoto ni mwehu, hakuna chochote atakachoongeza tupo hapa. Labda km ni wakuanzia benchi.Palmer ana ofa kitu ambacho hakipo kwa washambuliaji wetu
Anapenda kupiga mashuti mara anapopata nafasi hata kama ni finyu
Hii itawezesha aidha kupata magoli au nafasi za wengine kufunga kwa sababu mchezaji kama yeye mwenye kupenda kupiga mashuti na huo uwezo anao, mabeki watakuwa wanahaha na kucheza out of position katika jitihada za kumzuia asifunge. Tumuunge mkono kwa sasa na tuone ataleta nini.
Joe Shield ni mtaalamu wa kugundua vipaji kwani ni yeye yeye aligundua kipaji cha akina Foden
Wengine ni akina Olise, Jadon Santo,
Akiwa na miak 35 tu ni mmoja wa mtaalamu wa kung'amua vipaji (Tallent spotter) mzuri duniani
Yeye kwa sasa ndie mashauri mkuu wa akina Boehly na Eghbali
Mudryk anakutesa sana aisee, pole sana.inaelekea uliumia sana alivyowatosa.