£45m ni hela nyingi hizi kwa mchezaji ambaye hana game time nyingi si bora tungemchukuwa KudusWanataka pauni mil 50 ila wako tayari kupokea pauni mil 45
Chelsea wametoa pauni mil 35 imekataliwa
Mwanzoni alikuwa akiuzwa mil 25/30
Wataalamu wa transfer wanadai kuwa kwa vile Chelsea hawatakubali buy back clause, city wameamua kupandisha dau hadi mil 45
Alafu kwa pesa around hii wanamchukua yule Nunes wa wolves (in short timu nyingine tusahau kuiona EPL mpaka kipara achoke)£45m ni hela nyingi hizi kwa mchezaji ambaye hana game time nyingi si bora tungemchukuwa Kudus
Sa hiv 45M ni kama 10M ya miaka ile ya nyuma.£45m ni hela nyingi hizi kwa mchezaji ambaye hana game time nyingi si bora tungemchukuwa Kudus
tumeruka viunzi vingi tumekuja angukia kwa Palmer hope atatuprove wrong.Palmer mzuri sema dogo ni mchoyo wa pasi , nimemuona kwenye mechi nyingi za City utakuta kuna nafasi nzuri ya kiachia pass kwa mchezaji mwenzake ila atalazimisha kupiga
Hivi huyu dogo atakuwa starter kwenye kikosi cha kwanza au mchezaji wa benchAlafu kwa pesa around hii wanamchukua yule Nunes wa wolves (in short timu nyingine tusahau kuiona EPL mpaka kipara achoke)
Hapa ndiyo Man City anapowazidi wapinzani wake. Kwenye top 6 clubs ukitoa City ni kama vile timu nyingine zinaendeshwa na vichaa. Kwenye business ni 0 kabisa.£45m ni hela nyingi hizi kwa mchezaji ambaye hana game time nyingi si bora tungemchukuwa Kudus
UMeongea kilichokua akilini mwangu huyu dogo akipata mipira anachofikiria ni kufunga hat kama hayupo kwnye position y kufunga, ni Odoi au Madueke wakizungu. Sipendagi wachezaji kama hao basi tu ndio wameshaamua wenye timu.Palmer mzuri sema dogo ni mchoyo wa pasi , nimemuona kwenye mechi nyingi za City utakuta kuna nafasi nzuri ya kiachia pass kwa mchezaji mwenzake ila atalazimisha kupiga
Tayari huko, kipara kashaweka mil 40UMeongea kilichokua akilini mwangu huyu dogo akipata mipira anachofikiria ni kufunga hat kama hayupo kwnye position y kufunga, ni Odoi au Madueke wakizungu. Sipendagi wachezaji kama hao basi tu ndio wameshaamua wenye timu.
Kipara akikuuzia mchezaji ujue ni bomu, Arsenal wameuziwa Ziny na Jesus wote injury prone, Wakamtaka Gundo akaona silaha aipeleke baca huko.Hapa ndiyo Man City anapowazidi wapinzani wake. Kwenye top 6 clubs ukitoa City ni kama vile timu nyingine zinaendeshwa na vichaa. Kwenye business ni 0 kabisa.
Ila mngemfuata Kudus mngepigwa "bei ya watalii" 😁 Ajax ni wahuni-wahuni sana, wanapanga bei kulingana na uwezo wa timu.
Azam wanaoneshaGame yetu ya leo inarushwa channsl gani DSTV maana najaribu kuitafuta siipati. Kama kuna matu anafahamu naomba anisaide