Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

HT.
Pamoja na kuongoza kwa 1-0 na kuwa na possession kubwa ya 71% bado Chelsea haichezi vizuri. Wachezaji wetu wengi bado wana individual errors na kukosa concertation uwanjani. Ukosefu wa Chemistry ni dhahiri pia
 
Mwisho wa siku mtasema ukosefu wa Civics [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jackson anazubaa saa nyingine, ule mpira uliomzidi Sterling angekuwa Nkunku ni wa kutap tu ukaingia golini. Yeye baada ya kumpa Sterling akazubaa nyuma bada ya kuwahi golini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…