10 hag hana pesa ya compete hiyo bidding war ya hao watuHao Midfielders wako wapi ,ukitoa Caicedo, Lavia unawapata wavunja kuni tu
Ndio Maana top teams zote zimekuwa zikiweka kambi kwa Lavia na Caicedo ,
Thus why namshangaa ten hag anahangaika na Amrabat,
Hajui mpira huyo maana hata mwal wao nae naona kma kuna kitu anapotezaNdio Maana nacheka Sana mtu akiniambia Liverpool atamchallenge mancity
Yaani kafunika, ngoja aje Caocedo, watatukoma. Hii Mid ya Enzo, Chukwuemeka na Galagher imewahemesha Liver je angekuwepo Caicedo?ENZO kwangu ndio CAPTAIN wa timu.
Yule nae hakunankitu paleHao Midfielders wako wapi ,ukitoa Caicedo, Lavia unawapata wavunja kuni tu
Ndio Maana top teams zote zimekuwa zikiweka kambi kwa Lavia na Caicedo ,
Thus why namshangaa ten hag anahangaika na Amrabat,
Unajua kuangalia mpiraSterling takataka mpeleken manjesta
Kiukweli sikutegemea mcheze hivi, ongezeko la Caicedo,Lavia mnaenda moja kwa moja kugombea top 4
Popote kwenye mpira wa kileo, defense kuwa expose ni udhaifu wa mid by 80%Ushabiki pembeni hawa Chelsea wanatisha nimetoka kumwambia mtu hawa jamaa wakimaliza hizo dili lavia caisedo olise plus nkuku akirudi from injury nawa count top 4 must
Shida yao sio midfielders au attack Chelsea defense kidogo ipo reasoning na wanaweza kuwa exposed na lethal elite teams
Nazungumzia timu zenye elite wings hatari kama brighton Newcastle arsenal man utd
Hakuna haja ya kununua Lavia. Calagher asiuzwe. Tumnunue Caisedo na forward mmoja ambaye anaweza kucheza namba 10 na wingKuja lazima aje
Umesahau isue ya Raphinha na Kopunde. Baada ya wachezaji kusema wanaipenda Barcelona, ndi process ikawa slow wee klwa sababu Barcelona ilikuwa wakusanye kusanye vichenji ili waweze kulipa
Na sisi hivyo hivyo
Kimsingi Brington wamekubali bidi ya paini 100m + 15m ya addons
Changamoto ni makubaliano ya muundo wa malipo
Chelsea wanataka walipe kwa awamu nyingi, Brighton wamekataa, sasa Chelsea wataendelea kubargain huku wakipoteza muda ili tuuze wachezaji
Yupo Galagher, Odoi, Lukaku, Ziyech, hata ikibidi baadhi ya academy. Pia kutafuta utaratibu mwingine
Hili umeongea kweli, Liverpool ya 2019 sio kama ya sasa [emoji23][emoji23][emoji23] yaani mido iko exposed ndio maana naona akina VVD na Konate wanahangaika tu huko kukimbizana na Reece na Chilwell [emoji23][emoji23][emoji23]Popote kwenye mpira wa kileo, defense kuwa expose ni udhaifu wa mid by 80%
Ukiwa na Dm wazuri kazi ya mabeki inakuwa ndogo na wanaweza kuplan kukaba, ila kama mid wanaachama tu, defense lazima wazidiwe
Caisedo anahitajika ila usimuonee Galagher mechi ya leo hasa second half kacheza vzuri snaBila caisedo kiungo chetu hakika kitakuwa hovyo sana maaana huyo caraga hakuna kitu kabisa
Ukaptein bado. Language barrier na mambo mengi kuhusu tamaduni za Chelsea bado. Terry, Azipillicueta hawakupewa kiurahisi hivyo.ENZO kwangu ndio CAPTAIN wa timu.
Mkuu kumbuka mna msimu karibu wa 3 huu matokeo Kati ya liver na Chelsea ni suruhu Tu haijarishi yupi ana team nzuri au mbayaYaani kafunika, ngoja aje Caocedo, watatukoma. Hii Mid ya Enzo, Chukwuemeka na Galagher imewahemesha Liver je angekuwepo Caicedo?
Pressing ya leo tofauti na msimu uliopita, mentality ya leo unaiona waziwazi ni Chelsea mpya. Chemistry ikishajengwa wakaizoea EPL na London nawaambia Chelsea itakuwa moto. Bado Caicedo, Bado Nkunku, Bado hajaja OliseMkuu kumbuka mna msimu karibu wa 3 huu matokeo Kati ya liver na Chelsea ni suruhu Tu haijarishi yupi ana team nzuri au mbaya
Kwahiyo sidhani kama leo ilikuwa kipimo kizuri cha wachezaji wenu, though mmecheza vizuri, inawezekana ata angecheza nani hapo Kati Kati still matokeo yangekuwa the same
Yah jamaa kaibadilisha Sana Chelsea ,wanacheza vzr kwenye phase zote 3Pochettino ni KOCHA!Chelsea imebadilika mno ndiyo ni first game ya kwake na Chelsea EPL but HE IS THE MAN!
Still siwezi kuipima Chelsea kwenye mechi dhidi ya liver mkuu, Kwani Kati ya msimu huu na uliopita upi mna team nzuri? Nadhani jibu ni huuPressing ya leo tofauti na msimu uliopita, mentality ya leo unaiona waziwazi ni Chelsea mpya. Chemistry ikishajengwa wakaizoea EPL na London nawaambia Chelsea itakuwa moto. Bado Caicedo, Bado Nkunku, Bado hajaja Olise